mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,513
- 10,404
Basi nimewapa mkuu AccessBank
Kumbe bado hawajasambaa mikoani
Kumbe bado hawajasambaa mikoani
kwema mkuu... Nadhani naweza kuwa na experience japo sio kubwa bt ya kutosha. The good thing ni kwamba sijawahi kuwa na acc ya shilingi na toka nianze nimekuwa na ac za dola CRDB, Stanbic, Standard charter na hatimae access bank. Bila ushabiki Access bank is the best (according to my experience). gharama zake ni kama ifuatavyo; costs of withdrawal in cash ni 0.5%, account maintenance costs ni 1.00 usd kwa mwezi. over and out. wezi wa tatu nilipata capitalization ya 7.92 usd na mwezi wa nne nilipata 8.24 usd mwezi wa tano sita na saba sijachukua statement bt sijwahi kukatwa hela zangu japo zipo kidogo kila mwezi zinaongezeka at least 5 usd kama capitalization. opening balance ni 5 USD
Basi nimewapa mkuu AccessBank
Kumbe bado hawajasambaa mikoani
kwa lugha nyepesi tunataka ionekane kuwa VYA NJE VINAJALI KULIKO VYETU?
Habarini wanajamvi.
Msaada pliz, ni Bank ipi yenye naweza kuwa na account in dollars, with affordable terms.
Asanteni.
Hebu mwenye data sahihi kuhusu dollar account atujulishe wapi ni cheapest na hawana masharti yenye Urasimu
kwema mkuu... Nadhani naweza kuwa na experience japo sio kubwa bt ya kutosha. The good thing ni kwamba sijawahi kuwa na acc ya shilingi na toka nianze nimekuwa na ac za dola CRDB, Stanbic, Standard charter na hatimae access bank. Bila ushabiki Access bank is the best (according to my experience). gharama zake ni kama ifuatavyo; costs of withdrawal in cash ni 0.5%, account maintenance costs ni 1.00 usd kwa mwezi. over and out. wezi wa tatu nilipata capitalization ya 7.92 usd na mwezi wa nne nilipata 8.24 usd mwezi wa tano sita na saba sijachukua statement bt sijwahi kukatwa hela zangu japo zipo kidogo kila mwezi zinaongezeka at least 5 usd kama capitalization. opening balance ni 5 USD
kwema mkuu... Nadhani naweza kuwa na experience japo sio kubwa bt ya kutosha. The good thing ni kwamba sijawahi kuwa na acc ya shilingi na toka nianze nimekuwa na ac za dola CRDB, Stanbic, Standard charter na hatimae access bank. Bila ushabiki Access bank is the best (according to my experience). gharama zake ni kama ifuatavyo; costs of withdrawal in cash ni 0.5%, account maintenance costs ni 1.00 usd kwa mwezi. over and out. wezi wa tatu nilipata capitalization ya 7.92 usd na mwezi wa nne nilipata 8.24 usd mwezi wa tano sita na saba sijachukua statement bt sijwahi kukatwa hela zangu japo zipo kidogo kila mwezi zinaongezeka at least 5 usd kama capitalization. opening balance ni 5 USD
Mie nitafanya kuatach bronchures ili wadau wote mfaidike na hili mkuu
Asante Igwachnya, nitakimbila hUKO access
Mkuu nimependa hao access, vipi unajua matawi yao countrywise, isije kuwa wapo dar tu? itabidi nifunge ya kwangu crdb nihamie access kumbe!
Wakuu nimejaribu kufuatilia Exim wananiambia kuwa charges zao kwa mwezi ni USD 15 na 1 % kwa withdrawal, too expensive. nimejaribu kufuatilia kwenye mitandao ya mabenki mengine naona wakazi wa DAR tu ndo wenye kuweza kupata option rahisi zaidi katika mabenki ya Acess na Bank of India. Accessbank wameongeza nao gharama za withdrawal kwa sasa ni 1 % badala ya 0.5 ya awali kama mkuu Igwachnya alivyosema na monthly charges zao bado ni hiyo 1 USD. Kwa Bank of India wao kwa savings account isiyotumia check wanacharge 2 USD kwa mwezi na 0.5 % withdrawal kwa amount inayozidi USD 3000 na minimum balance ni USD 50, very cheap. Nimejaribu kufuatilia BOA Bank naona taarifa zao hawajaziweka wazi kwenye mtandao labda ingeweza kuwasaidia wakati wa Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Moshi, Morogoro, Mbeya and Tunduma.
Nilichojifunza ni kwamba, kwa kadri benki inavyozidi kujitanua ndo inavyozidi kuongeza gharama.
Hata NBC
nilifungua account na std nilikoma . hawana mashart magumu kufungua, na unaweza we ka $ hata 50 then ukaitoa hata yote hawana neno. sasa kwa mwezi walikuwa wanakata $ 30 niliviacha $ vyangu nikasafiri kama miezi 3 nikakuta wamekata $90 nikahamisha haraka. ila nasikia sasa wameshusha ni $ 10 kwa mwezi. stanibic wanakata unafungua kwa $ 50 harafu wanakata $ 10, baclays unafungua kwa $ 50 wanakata $ 20 kwa mwezi.Standard chartered na stanbic vip? Maana hizi za nyumbani sio rafiki kabisa
Mkuu Exim Bank ukiwa na akaunti ya UK pound na Euro ni balaa zaidi maana wanacharge hata deposit (1 %) ya pesa unayoweka which is soo funny. Niliamua kufunga akaunti ya Euro huko. Niliwaulizai "yaani mnaniadhibu hata kwa pesa ninayowawekea maana yake nini?" Wakawa wanajiumauma tu, nikaona upuuzi huu.
Habarini wanajamvi.
Msaada pliz, ni Bank ipi yenye naweza kuwa na account in dollars, with affordable terms.
Asanteni.
Basi nimewapa mkuu AccessBank
Kumbe bado hawajasambaa mikoani
Mkuu kama ni kweli I think Access Bank then will do better. But will pitia kwanza kwa mabenki huko nipate muongozo kidogo. Thank you again in advance.
Duh, hilo ndio tatizo sasa., anyways will find a way.
Wakuu kwa wale mlioko mikoani basi nendeni Exim Bank. Nime-edit post yangu ya jana baada ya kupata ufafanuzi zaidi kutoka Exim Bank ya kuwa kwenye USD savings account hawana makato yoyote kwa mwezi ila ukichukua ndo wanakata 1 % ya pesa unayochukua. Hiyo USD 15 kwa mwezi wanakata kwenye current account. Nawatakia kila la kheri.
asante kwa jitihada zako mkuu, binafsi itabidi nikafunge ya CRDB ili niokoe hiyo dola 5 wanayonikata kila mwezi