According to your Ex, what was your main problem?

Kama ulikosea ukaomba radhi akagoma, ni sahihi kubeba Hiyo adhabu kama alionao ni sahihi kwako..

Mi nipo hivyo, ila nae ajiandae akija kuingia box, ntachomfanyia atasimulia hadi vinying'inya
Dah tokea happ nimekua mkorofi x100.
 
Eti nina bonge la komwe nitamuharibia watoto .Ni kweli nina bonge la komwe hata ndege ikipita mpaka nilale chini ndio naiona.Komwe kama kofiaπŸ˜€πŸ˜€.
 
Eti nina bonge la komwe nitamuharibia watoto .Ni kweli nina bonge la komwe hata ndege ikipita mpaka nilale chini ndio naiona.Komwe kama kofiaπŸ˜€πŸ˜€.

komwe kama kichwa Cha treni. Wewe unapaswa kuwa na CHAMA wa simba
 
Reactions: EEX
Tatizo ubahiri mkuu huna cha u serious wala nini na ukiendelea hvo mkuu sizani kama utatoboa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tungi,afu kanataka kunipangia jinsi ya kula pesa zangu..
Nilimuacha siku ameniomba nauli ya kwenda kazini ..,! Kama unakosa nauli ya kwenda kazini hyo kazi haina maana kwako.
 
She damped me because I didn't have the capacity to cater for her needs😒😒
 
Tatizo ubahiri mkuu huna cha u serious wala nini na ukiendelea hvo mkuu sizani kama utatoboa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ili nihonge lazima nihakikishe hakuna hata mdogo wangu mmoja mwenye shida hata ya penseli
 
Ili nihonge lazima nihakikishe hakuna hata mdogo wangu mmoja mwenye shida hata ya penseli
Weee ni bahili pro max alaaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daaah aiseeee
 
Alininyamazia tu....
Na vile hii ni life nikasonga mbele nikaoga na kurudi Soko...
Alikunyamazia tu auntie masikini pole auntie yangu ila maisha lazima yaendelee tu mmekutana ukubwani ya nini kusumbuana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…