According to your Ex, what was your main problem?

Hii ni kauli ya kistaarabu ya kuacha mtu bila kumuumiza.

Na niliondoka bila kuumia moyoni, bila lawama wala kilio kjwa nimeachwa.

Niliondoka na furaha na amani ya kuachwa kistaarabu...🤣🤣🤣🤣

Nikalipiwa na trip ya Zanzibar siku 2 hotelini niko mwenyewe....😁😁😁

Nimsahau kwa starehe sio kwa huzuni...😆😆😆.

Maisha bana, yana vitimbwi na visa kedekede 😅😅.
 
Huyo alikua na upendo kweli kutoka moyoni
 
Duhh.. sikumbuki
 
Kwanini yeye ndiye awe analia kwenye mzagamuo alafu mimi nimekausha
 
1. Lack of Capital
2. Forced labor
3. Poor communication
4. Poor infrastructure
5. Unrealiable
6. Lack of transport
7. High Taxes imposition
Kuwa serious basi. Wenzako wanashare experience za ukweli ili kujifunza wewe unahangaika na vituko ili uonekane comedian. Sio sawa bwana.
 
Eti natumia mda mwingi kufanya mapenzi kuliko kufanya vitu vya msingi.. akasema ngoja atafute mtu mwenyewe Yuko na future nae..namm nikasema Amina mama unaweza enda
Wewe ni mkenya??
 
Hii ni kauli ya kistaarabu ya kuacha mtu bila kumuumiza.
Hakuna ustaarabu wowote, anaachaje mtu kisa tu hisia zake zimeleta shoti kwenye likichwa lake kama mtungi mdogo wa oryx?

Why asiheshimu mtu from the start?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…