Access to Canada

Wakuu heshima zenu naskitika na kauli zinazotumiwa. naomba mtoe mawazoyenu badala ya kumkashifu mtu na kumtusi kiukweli haipendezi lughachafu hajengi mtatoka kwenye mada na kumkosesha faida mtoa mada na wengine pia. wengi hujukuwa mawazo yenu wana JF
 
Mtoa mada ameshapata michango mizuri kabisa. Ni maoni mchanganyiko lakini anatakiwa ayatafakari yote. Huku Canada fedha inapatikana lakini matumizi yapo juu pia kodi na diduction zingine vinaumiza sana. Lakini sio mbaya sana ukiwa na discipline ya matimizi saving inapatikana. Suala weather pia unatakiwa ulitilie maanani - sio mchezo hii hali ya hewa hapa ni mbaya mno!!
Kama unasifa zote, kupitia experience class unaweza ukapata hiyo Permanent Residence, ila inachukua muda mrefu saana. Inaweza ikakuchukua miaka mitatu mpaka mitano kuipata haswa kwa Regional Office ya Canada ambayo ni Nairobi. Nairobi is the worst Canadian Immigration office in the World. Good Luck!!!
 
hahahaha..... pepaz muhimu sana Belinda, mambo yakigoma nitakucheki aise..........Asante sana

Powa all the best mkuu!..maisha kotekote ili mradi ujue unachokifanya tena hizo nchi za watu hamna lelemama wala kumtegemea mtu!!
 
Italy ...mmh hapana kabisa,
hata nikiambiwa kupelekwa huko siendi ng'o
wengi wahamiaji wa afrika kaskazini wanakimbilia kupitia Italy
na kwa sasa kule hapafai hata kidogo
wananchi wenyewe hawana job wanateseka tu
Bwana wee, njoo Italy..Canada mbali kote hata kuja bongo ni kazi sana!..Shtua me tuanze mipango ya pepaz:))))
 
Back
Top Bottom