mkuu mbona kama una wenge sana kwa mujibu ya maelezo yako ww ulikuwa mteja wa Standard chartered bank ambayo wateja wake akaunti zenu mumehamishiwa Acesa bank tarehe 23 ni juzi hiyo..ila ww ndani ya siku moja unataka uwe hewani kwenye bank mpya..huwezi jua mkuu labda bado wanabadilishana mifumo au kuhamisha data zenu za kibenk zilizo kwenye account zenu zikasome kwenye benki mpya uliyohamishwa hata siku ukitaka statement ya miezi 6 nyuma wanakupa..relax kwa mda kidogo wamalize michakato yao ya ndani ya kibenki na kuweka mifumo sawa..mwezetu siko moja tu umepagawa kupiga mayowe kumbe benki bado zinabadilishana taarifa