mabenk haya ya binafsi ni shida sana. Wote ni wafu kama TCP (postal bank zamani), ila labda hiyo imezidi. Vingelikuwa vinawezekana unaweka hela zako nyumbani, but this is impossibleAccess bank wamewachukua wateja wa Standard charted Bank toka 23 June 2025 , lakini hadi muda huu, huwezi kutoa fedha kwa njia yoyote, na call centre yao hawapokei.
BoT wanahitajika hapa ili wananchi waendelee kupata huduma kama kawaida.
Cha ajabu zaidi hawatoi support yoyote wala taarifa.
Access bank wamewachukua wateja wa Standard charted Bank toka 23 June 2025 , lakini hadi muda huu, huwezi kutoa fedha kwa njia yoyote, na call centre yao hawapokei.
Customer care bongo bado ni kipengeleAccess bank wamewachukua wateja wa Standard charted Bank toka 23 June 2025 , lakini hadi muda huu, huwezi kutoa fedha kwa njia yoyote, na call centre yao hawapokei.
BoT wanahitajika hapa ili wananchi waendelee kupata huduma kama kawaida.
Cha ajabu zaidi hawatoi support yoyote wala taarifa.
Na mimi nilikuwa mteja wa BANCABC nikahamishiwa ACCESS msobemsobe yaani hata sielewi.Hawa pia si wamechukua iliyokuwa BancABC...
Huwezi hata kulog in kwenye app yao ya Access app...
Sasa hivi ndio wanajiita selcomNa mimi nilikuwa mteja wa BANCABC nikahamishiwa ACCESS msobemsobe yaani hata sielewi.
Sasa hivi ndio wanajiita selcom
nilisomaga mahali selcom wameinunua access bank, access na yenyewe ndio inanunua bank ambazo hazina ukwasi kama bancabc na hao standard.Sasa hivi ndio wanajiita selcom
TCB ni takataka mifumo yao hovyo kabisa,,mfano upande wa mikopo mifumo yao iko hovyoTanzania commercial Bank ni nzuri
Endelea kuunga foleni kwenye bank hall kama uko kwenye kituo cha mwendokasi au daladala.Hawa kina crdb, nmb Wana ujinga mwingi ila ukweli utabaki pale pale ndo bank reliable Kwa mfumo wa nchi yetu
Unategemea nini kwenye bank ambayo serikali ni wanahisa wakuu,TCB ni takataka mifumo yao hovyo kabisa,,mfano upande wa mikopo mifumo yao iko hovyo