Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,276
I like you mdada, you have a point hereUzuri wazungu hufuata sheria hakunaga blah blah sasa kasheshe ipo huku upande wetu yani mpk waziri wa sheria hafuati sheria kuna lolote hapa kweli?

Hivi vita ni kubwa kuliko tunavyoichukulia..!Wanabodi,
Naendelea na zile mada zangu za kuangazia maslahi kwa taifa.
Mambo ya Acacia kututangaza vibaya duniani yanaendelea, kati ya juzi, na leo, wameishatoa press releses 3 kuizungumzia Tanzania, ikiwemo hii ya leo ambazo zote wanalalamikia watu wao kukamatwa na kushitakiwa.
Press Release Item
Juzi waliotoa press releases mbili
Press Release Item
Press Release Item
Kwenye hii press release yao ya leo, wamesema na hapa ninanukuu
Peter Geleta, Interim CEO of Acacia stated: “Against this strong operating performance, I am, however, deeply concerned about the increasing risks to the safety and security of our people and the increasingly challenging operating environment in Tanzania which could impact the outlook for the business".
Wamesema kwanza wataishitaki Tanzania kwa baba yao Barrick, kushinikiza madai yoyote ya serikali dhidi ya Acacia, yajumuishwe kwenye mazungumzo yanayoendelea, pili watafanya majadiliano na serikali, kuachana na hizi kamata, kamata, sweka ndani na shitakiana shitakiana za watumishi wao, serikali yetu isipowasikiliza, then watatushitaki MIGA!.
My Take.
1. Kwa serikali yetu: kwa vile tunamazungumzo yanayoendelea kati ya serikali yetu na Barrick kuhusu Acacia, na msingi mkuu wa mazungumzo hayo ni Trust and Transparency, yaani kuaminiana na uwazi, kitendo cha kuwashitaki Acacia kwa jambo linalozungumzika mezani, ni breach of trust, kwa nini matatizo yote kabisa ya Acacia na serikali yetu yasiwe consolidated na kupelekwa kwenye meza ya mazungumzo?. Na kama haya mashitaki ni hasira tuu za kucheleweshewa kila kishika uchumba chetu, simamisheni kwanza kila kitu, kishika uchumba kitoke, ndipo mazungumzo yaendelee!.
2. Kitendo cha wanasheria wetu nguli, kukubali kufanya mazungumzo na Barrick bila mhusika mkuu Acacia kushirikishwa, ni udhaifu mkubwa, kwa sababu chochote kitakachokubaliwa, the final ni Acacia na sio Barrick, its not too late kuwakaribisha Acacia now, ili chochote kitakacho fikiwa na mazungumzo yale kiwe ni final and conclusive.
3. Pia tumeonyesha udhaifu kwenye composition ya timu yetu ya mazungumzo, kumbe hatuna watu wa PCCB mule?!, ndio maana huku serikali yetu inazungumza na Barrick kuhusu Acacia, huku BCCB wako busy kuwafungulia mashitaka, tuiongeze timu yetu tuwaweke watu wa kila sekta, ili kila kitu kiwekwe mezani, likiisha liishe jumla.
4. Kwa Acacia: Unapokuwa kwenye nchi ya watu, ukijivunia rasilimali za nchi hiyo, inakubidi uwe na adabu na heshima, sometimes unaweza kulazimika kukaa kimya tuu hata kama unaonewa, ili uzimuudhi mwenye mali!, huwezi kuutangazia ulimwengu kuwa Tanzania ni nchi yenye safety and security risk, kwa sababu tuu watu wako wameshitakiwa!.
5. Mwisho: Serikali yetu iwe wazi, truthfully na very transparently kinachoendelea kwenye mazungumzo yetu, its not fair, hata sisi Watanzania wenyewe, tunapata updates kutoka Barrick au Acacia, tungependa kupata taarifa rasmi kutoka kwetu.
Paskali
Uchumi ni namba mkuu na hauna maadili yoyote yale. Ili mradi tu sifuri zinaongezeka kwenye Uchumi basi huo Uchumi utakua kwa kasi sana. Haijalishi unatokana na wizi, ufisadi au biashara halali zote hizi zinachangia pato la taifa kwa namna moja au nyingine. Maana kwenye hizo hela kama muuza Unga halipi Corporate Tax basi atalipa Value Added Tax. Atampa hela machinga, atajenga nyumba Masaki, Atajenga hoteli Serengeti watu watapata ajira.Ningependa ufafanue kidogo kuhusu hilo la baadhi ya sera za mheshimiwa raisi Magufuli kuwaathiri baadhi ya wawekezaji kwamba wamaanisha masharti ya uwekezaji au taratibu.
May be maana wote wanatokea singidaNina swali nauliza hivi lissu na MO Wana mahusiano yoyote ya kimaslahi na hii kampuni maana Kuna kitu nakiwaza hapa
t means hawa walimu wetu ( maprofesa) walitudanganya kwenye takwimu na makadirio walioweka kipindi kile kuhusu pesa za hawa wanaume, na kama walitudanganya je, kule darasani vyote walivyokuwa wanatufundisha vipo sahihi?
Majibu yako yameelemea kutetea hivo nakosa la kushauri.Mbali na Lissu kuongea ushauri mwingine wa kitaalamu ambao mnatoa kwa Serikali kuhusiana na makinikia ni upi ? Ina maana leo tuwategemee Prof Osoro na Lissu peke yao ? Mbona mwenzenu Pascal Mayalla amejitahidi kutoa ushauri wa kitaalamu na ameonyesha uwezo wa kifikiri na kuchambua yeye peke yake kama msomi. Wewe hapo Odhiambo Cairo ushauri wako binafsi wa kitaalamu kuhusu Makinikia uko wapi ?
AU mpaka Lissu aandike kupitia Mwanahabari Huru ndiyo mpate cha kuchangia ?
Hebu tuache hizi siasa za matukio na tujaribu kuyatazama mambo katika mapana yake. Kama tunapinga basi tulete hoja nzito zenye utafiti wa kutosha na watu tuzione na tuzichambue kwa umakini.
Tena kukusaidia tu, Mikataba mikubwa yote ni ya Raisi hawa makamishna wanaisaini kwa niaba ya Raisi (On behalf of) au kama Mashahidi tu (Witnesses). Halafu hakuna anayesema CCM ni wasafi, hebu acheni hii Sensationalism na Partisan Politics ambayo inawafunga akili msiweze kufikiri vizuri. Hapa hoja siyo Magufuli hapa hoja ni nchi.Huyu Raisi ni mpitaji tu ambaye anajaribu kurekebisha baadhi ya mambo sasa kuichukia nchi yako kisa mpitaji ni ukosaji wa uungwana.
Tatizo lenu kubwa ndiyo hili. Hamsomi viti vizuri, mnakurupuka, mnapenda kukosoa ila mkikosolewa mnapiga kelele kweli. Haya sasa wapi nimesema Tundu Lissu hafai, au umeamua kunilisha maneno ?
.
Kuhusu swala la gesi na mafuta hawakulalamika CHADEMA tu, hata CCM walilamika kwa mambo mabovu ambayo Jakaya aliifanyia nchi. Hadi Mzee Malecela alisema gesi lazima iwanufaishe wana Mtwara kwanza. Siku ile vurugu ya Mtwara inatokea Jakaya alikuwepi Mtera Iringa, aliwatishia sana viongozi wa CCM ambao walikuwa wanataka gesi isitoke akisema "Lazima atawakata pembe". Mbona unataka kulifanya hili swala kama la mtu binafsi wakati ni swala la kitaifa ?
Yes, Tundu Lissu was right. But even people like former Premier Malecela, Dr Slaa, Zitto Kabwe, Mtikila and Mkapa spoke viciously against The Gas Deal. Au unataka kusema huyo Lissu hajawahi kupotosha Umma kwa maksudi ?? AU Unataka nikupe na mifano hai kabisa
Ubabe ni mzuri kama ni wa haki!! Lakini hii hawa ni wateule na wale watolewe mifano. HAUFAI HATA KIDOGO.I totally agree with you! Ila tangu mwanzo tulipanda mchungwa tukiuita mchenza, sasa umezaa matunda tunatafutana uchawi.
Hawa Acacia wamekula sana na wameiba vya kutosha. Ila hatuwezi kukataa mkono wetu (watanzania) katika wizi huo. Tulikosea kwanzia kwenye mikataba ya mwanzo na tuliponzwa na watanzania wachache tuliowaamini wasimamie rasilimali zetu. Ila hatuwezi kutatua tatizo kwa ubabe, tunahitaji akili zaidi na mikakati bora kwenye hili jambo laa sivyo tunajichimbia shimo refu litakalotufunika wenyewe.
Mimi siyo mwanasheria wala mfanyabiashara, so please correct me if I am wrong.
Nilishawahi kuambiwa kuwa hakuna kipengele muhimu kwenye mikataba kama eneo linalozungumzia migogoro na hatua za kuvunja mkataba huo. Pande mbili au zaidi zinapoingia kwenye mkataba, na katikati ya muhula kukatokea tatizo, upande wowote unaweza kutoa lalamiko au kutaka kuvunja mkataba.
Sasa, ikiwa sisi kama nchi tunao ushahidi kuwa Barrick/Acacia wamevunja makubaliano au kwenda kinyume na mkataba kwa kutakatisha fedha, kukwepa kodi na rushwa, kwa nini tusiutumie ushahidi huu katika majadiliano tukidai fidia? Au kama tumeshindwana mezani kwa nini tusichukue hatua nyingine katika mkataba ya kushitaki mahakamani ilhali ushahidi tunao?
Nakubaliana kabisa na wewe ndugu yangu katika hili lakini tujiulize swali lifuatalo: Je, Acacia/Barrick walikuwa wako tayari kukaa kwenye meza ya mazungumzo na Tanzania bila kujaribu kufurukuta ? Maana ili usuluhishi wowote uishe vizuri na mfanikiwe kufikia Amicable Settlement ni lazima kila mtu akubali kupoteza baadhi ya haki zake ili kuweza kujenga GOOD FAITH. Hapa kulikuwa na madhaifu pande zote mbili. JMT chini ya Raisi JPM tulitaka sifa kisiasa na kuongea sana dunia ijue, na hawa Barrick/Accaccia nao walitaka kuendelea kupiga dili na kuchukulia kwamba yataisha kirahisi. Mpaka sasa mjadala unaendelea lakini hakuna Imani baina ya pande hizi mbili. Ukiangalia vizuri kila pande ina hoja na haki zake za kimsingi kabisa tofauti na baadhi ya wanasiasa kutaka kusema kwamba JMT inawaonea Accaccia/Barrick.Hata kama dunia inajua kuwa Barrick/Acacia wametuibia sana tatizo linakuja jinsi tunavyokabiliana na hili. We are setting precedence on any other contracts in the mining or extractive industries. Wawekezaji duniani wanaangalia au wataangalia mikataba yetu iliyotangulia na jinsi tumeikabili na maamuzi yao yatategemea na utekelezaji wetu. Sawa inawezekana kwa kukataa usuluhishi kwenye mahakama za kimataifa (international arbitration) tunawapa wakati mgumu Acacia kuuza hisa zao wakimbie, lakini pia tunajiumiza na sisi. Itakuwa vigumu sana kwa mwekezaji wa kimataifa kukubali kuingia mkataba na sisi ikiwa tumekataa international arbitration. Labda bidhaa iwe bei ya madafu kiasi kwamba wanauwezo wa kufyonza hasara yoyote watakayopata.
Kingine, mikataba yote inayohusu rasilimali za nchi haiingiwi na mtu binafsi, ni serikali ndio inaingia mkataba kwa niaba ya nchi. Kama awamu ya kwanza waliingia mkataba na X, awamu ya pili inapoingia haiwezi kumwambia X kuwa "siutambui mkataba huu kwa kuwa ulisaini na flani wa awamu ya kwanza". Tutafeli sana tukifanya hivyo. Hayo ya nani alikosea tushikane humu humu ndani ya nchi bila kuathiri mikataba nje ya utaratibu wa mikataba hiyo.
Pascal acaccia kutusema vibaya ughaibuni ni sawa. Usalama uko wapi kama tajiri na 1 anatekwa ki madoido ?!.
Lakini kubwa ni kuwa awamu ya tatu chini ya BWM iliirudisha Tanganyika utumwani kwa kuiingiza kwenye mikataba, ambayo haiwezi kujinasua. Tutawatafuta wachawi sana lakini tatizo ni sisi wenyewe.
Mimi natetea maslahi ya nchi lakini ninyi mnakuwa na akili mbovu kama farisayo aliyenyimwa mvinyo.Majibu yako yameelemea kutetea hivo nakosa la kushauri.
Wanabodi,
Naendelea na zile mada zangu za kuangazia maslahi kwa taifa.
Mambo ya Acacia kututangaza vibaya duniani yanaendelea, kati ya juzi, na leo, wameishatoa press releses 3 kuizungumzia Tanzania, ikiwemo hii ya leo ambazo zote wanalalamikia watu wao kukamatwa na kushitakiwa.
Press Release Item
Juzi waliotoa press releases mbili
Press Release Item
Press Release Item
Kwenye hii press release yao ya leo, wamesema na hapa ninanukuu
Peter Geleta, Interim CEO of Acacia stated: “Against this strong operating performance, I am, however, deeply concerned about the increasing risks to the safety and security of our people and the increasingly challenging operating environment in Tanzania which could impact the outlook for the business".
Wamesema kwanza wataishitaki Tanzania kwa baba yao Barrick, kushinikiza madai yoyote ya serikali dhidi ya Acacia, yajumuishwe kwenye mazungumzo yanayoendelea, pili watafanya majadiliano na serikali, kuachana na hizi kamata, kamata, sweka ndani na shitakiana shitakiana za watumishi wao, serikali yetu isipowasikiliza, then watatushitaki MIGA!.
My Take.
1. Kwa serikali yetu: kwa vile tunamazungumzo yanayoendelea kati ya serikali yetu na Barrick kuhusu Acacia, na msingi mkuu wa mazungumzo hayo ni Trust and Transparency, yaani kuaminiana na uwazi, kitendo cha kuwashitaki Acacia kwa jambo linalozungumzika mezani, ni breach of trust, kwa nini matatizo yote kabisa ya Acacia na serikali yetu yasiwe consolidated na kupelekwa kwenye meza ya mazungumzo?. Na kama haya mashitaki ni hasira tuu za kucheleweshewa kila kishika uchumba chetu, simamisheni kwanza kila kitu, kishika uchumba kitoke, ndipo mazungumzo yaendelee!.
2. Kitendo cha wanasheria wetu nguli, kukubali kufanya mazungumzo na Barrick bila mhusika mkuu Acacia kushirikishwa, ni udhaifu mkubwa, kwa sababu chochote kitakachokubaliwa, the final ni Acacia na sio Barrick, its not too late kuwakaribisha Acacia now, ili chochote kitakacho fikiwa na mazungumzo yale kiwe ni final and conclusive.
3. Pia tumeonyesha udhaifu kwenye composition ya timu yetu ya mazungumzo, kumbe hatuna watu wa PCCB mule?!, ndio maana huku serikali yetu inazungumza na Barrick kuhusu Acacia, huku BCCB wako busy kuwafungulia mashitaka, tuiongeze timu yetu tuwaweke watu wa kila sekta, ili kila kitu kiwekwe mezani, likiisha liishe jumla.
4. Kwa Acacia: Unapokuwa kwenye nchi ya watu, ukijivunia rasilimali za nchi hiyo, inakubidi uwe na adabu na heshima, sometimes unaweza kulazimika kukaa kimya tuu hata kama unaonewa, ili uzimuudhi mwenye mali!, huwezi kuutangazia ulimwengu kuwa Tanzania ni nchi yenye safety and security risk, kwa sababu tuu watu wako wameshitakiwa!.
5. Mwisho: Serikali yetu iwe wazi, truthfully na very transparently kinachoendelea kwenye mazungumzo yetu, its not fair, hata sisi Watanzania wenyewe, tunapata updates kutoka Barrick au Acacia, tungependa kupata taarifa rasmi kutoka kwetu.
Paskali
Awamu ya tatu ndivyo ilivyo haitaweza kamwe kujipanga kwa jambo lo lote zaidi ya kukurupuka. Sababu unaijua ni utawala wa kimwananzengo.Wanabodi,

China wangekuwa washapigwa kitanzi kitambo, na hii ndyo inayofanya wao waendelee huku sie tukiendelea kupiga mark timeHao uliowataja tumeambiwa waachwe wapumzike, ndo impunity tuliyojijengea kwenye nchi