Masanja Maguzu
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 547
- 396
Acha woga mkuu askari hodari hukimbilia risasi za adui zinakotoka ni bora ufe ukipigania chako hayo mahela waliokuwa wanahongana barbados yangekomboa maisha ya watanzania wangapi?Mayala huu ndiyo Ukweli ingawa wapo vilaza humu tena wengi wakiwa ni CCM watakupinga bila hoja au kwa mifano ya kijuha juha, Hakuna Siri kuwa Acacia walifanya kazi zao kwa mujibu wa mikataba waliyoingia na Serikali ya Tanzania chini ya kikwete na kama kuna mapungufu wa kulaumiwa au kubeba lawama zote ni kikwete, mbinu ambayo ilifaa kumaliza tatizo ilikuwa ni kukaa na wanasheria wazuri kisha kuipitia mikataba yao vizuri kwa umakini mkubwa na wakarekebisha mapungufu yote ndipo mengine yangeanzia hapo, lakini kukaa kupiga kelele tumeibiwa mara hivi huku Acacia wapo kiimya wakitunga sheria ni ujinga, ni wakati wananchi wajitolee kubuni namna nzuri ya kumlaliza tatizo badala ya kutengeneza Bomu ambalo litakuja kuigharimu Taifa baadae endapo wajinga wajinga wataendelea kumshauri vibaya mtukufu.