AC na Feni zipo ila joto limezidi linapoteza hamu ya sita kwa sita

Habari wakuu,

Nimewakumbuka sana...

Husika na kichwa cha habari kisemacho AC na Feni zipo ila joto limezidi linapoteza hamu ya kunako sita kwa sita.

Bana acha jua linawaka jamani yaani joto ni Kali sana Tena Kali kweli kweli.

AC zenyewe kunawakati zinagoma kabisa yaani zinakataa maana joto Kali.

Njoo Sasa kwa Feni za mchina yaani kuna wakati zinapuliza joto.

Kama mjuavyo lile tendo letu linahitaji kuwepo na hali ya hewa nzuri hasa ya ubaridi yaani wa asili sio feki.

Hapo ni kwa wale wenye AC ndio walau wanapata kautamu kunako sita ila sio kama wale walio mikoa ya baridi.

Ukija kwa wale kina Fulani yaani Feni la mchina nalo linajitahidi kupuliza ila Bado si sawa na hali halisi ya baridi.

Ikumbukwe suala la sita kwa sita linaendana na hali ya hewa, hivyo hii ya Sasa jamani hapana.

Walio mikoa ya Baridi wanaelewa ninavyoandika hapa maana kule wanafurahia utamu sana.

Hali inaruhusu bana maana wanakuwa wanatafuta joto kwa mabebe zao.

Tuambi vile hali ya joto imekuathiri katika tendo huko Dunia ya kwako.

Hili sio joto ni moto.

Donatila
Huku kijijini kwetu maji yanatoka bombani yashapikwa kabisa
 
Midebwedo hamchakatan kwa eidha kukosa nguvu za kike/kiume.
Ila wazee wa kazi kazi ni mwendo mdundo, jua la saa 7 mchana kuna viumbe wapo mahali wanachapana na juu paa halina sillngboard na umeme umekata.
 
Midebwedo hamchakatan kwa eidha kukosa nguvu za kike/kiume.
Ila wazee wa kazi kazi ni mwendo mdundo, jua la saa 7 mchana kuna viumbe wapo mahali wanachapana na juu paa halina sillngboard na umeme umekata.
Kuna ukweli hapa
 
siis wa chumba kimoja manzese na umeme wa kuchangia luku siku mwenye zamu hajanunua umeme na una ratiba ya heavy duty show asee sitaki kuelezea inavyokua ila vuta picha mwenyewe
 
Hauna AC wewe. Toka lini AC iliyofungwa kwa kufuata weledi na ukubwa wa chumba ikashindwa kufanya kazi joto likiwa kali. Itakuwa AC zenu za saloon za uswazi ndio unazoongelea hapa
Tafuta hela nchi haina joto gari Ac, nyumba AC, Ofisi AC, Bar AC
 
Back
Top Bottom