Mwanahabari Huru Ni kitu gani kipya kitatolewa ambacho ni tofauti na yaliyoonekana na kusikika baada ya kikao. Waliyasema wote mbele ya kamera na tuliona na kusikia.
makene msemaji wa chama na liongo wa mh elmsemaji wa Edo na Makene ni tofauti?
"Kuboa" ndio nini?hivi wasomi wetu hamuwezi andika habari hadi mchanganye lugha
mnaboa
nani kidampa zaidi...mheshimiwa mbunge Lema au wewe mbeba box wa utumwani US??Kwa hiyo Mbowe, Lissu, na kidampa Lema nao walikurupuka?
makene msemaji wa chama na liongo wa mh el
Usisahau kuwa Lowassa alikinunua Chadema kwa bil.5. Nani mwenye ujasiri sasa wa kumuambia aondoke?Kweli mkuu lowassa must go, chadema wasimwonee haya na hili litakuwa funzo kwa wanachama wengine wanaofikiri wapo juu zaidi ya chama
You are dreaming.Sizonje a one term president
mzee Lowassa kabananishwa anataka kumkataa magufuli wakati wote walikuwa wanachecheka cheka kuonyesha kijino pembe retaliation ya wananchi inamchimbuwa aongee na mwenyekiti wake kable ya kuenda lowassa rudi kwa fisadi mwenzako magufuli au huku utabaki kama shibuda tu no one will ever car e for youKwa hiyo Mbowe, Lissu, na kidampa Lema nao walikurupuka?
Hilo jina ‘Liongo’ linachekesha sana!
Dizaini jamaa ni liongo liongo kweli
Rasmi sasa ndio anadai pesa yake alionunulia chama!
Kaangalie mradi wa Umeme wa gas Kinyerezi two then urudi uulize hilo swali.miaka miwili ebu sema imefika wapi.
Ahahahah unadhihirisha genge la matapeli!Kama ana receipt ya EFD aionyeshe wanachama watailipa baada ya kupima faida na hasara alizoipatia chama. Vinginevyo aliingizwa mjini.
wewe unaukweli ganiMwanahabari Huru Huyu jamaa muongo kama jina lake liongo lilivyo, Mbowe na Lowassa walikutania wapi kupewa mrejesho?
hili jamaa chiziNdugu mbona hakuna pahala lugha imechanganywa, au mwenzetu umeamkia kilabuni
hicho ni kilugha gani?hivi wasomi wetu hamuwezi andika habari hadi mchanganye lugha
mnaboa