Abubakary Liongo: Taarifa zinazosambazwa kuhusu ziara ya Mzee Lowassa Ikulu sio rasmi kutoka ofisi ya Lowassa

Mwanahabari Huru Ni kitu gani kipya kitatolewa ambacho ni tofauti na yaliyoonekana na kusikika baada ya kikao. Waliyasema wote mbele ya kamera na tuliona na kusikia.
 
Kama Lowassa ''aliomba'' na kukubaliwa kwenda kuonana na mwenyekiti wa CCM bila mwenyekiti wa CHADEMA kuwa na taarifa, kuna shida kubwa. Hayo sijui ya kuja kutoa mrejesho baada ya mkutano ni porojo tu.
 
Kweli mkuu lowassa must go, chadema wasimwonee haya na hili litakuwa funzo kwa wanachama wengine wanaofikiri wapo juu zaidi ya chama
Usisahau kuwa Lowassa alikinunua Chadema kwa bil.5. Nani mwenye ujasiri sasa wa kumuambia aondoke?
 
Kwa hiyo Mbowe, Lissu, na kidampa Lema nao walikurupuka?
mzee Lowassa kabananishwa anataka kumkataa magufuli wakati wote walikuwa wanachecheka cheka kuonyesha kijino pembe retaliation ya wananchi inamchimbuwa aongee na mwenyekiti wake kable ya kuenda lowassa rudi kwa fisadi mwenzako magufuli au huku utabaki kama shibuda tu no one will ever car e for you
 
Aboubakary Liongo ni communication specialist aliewiva
Hakurupuki kama Mwanahabari Huru au yule kituko Makene ambaye kila siku kazi yake kusaini matamko koko
Kuna jambo ameandika Liongo,linawafanya makarai watulize vijambio kwa muda"Mara baada ya ziara ya lowassa ikulu,Mh Lowassa alionana na mwenyekiti kumpa mrejesho"
 
Back
Top Bottom