Abubakary Liongo: Taarifa zinazosambazwa kuhusu ziara ya Mzee Lowassa Ikulu sio rasmi kutoka ofisi ya Lowassa

Usanii auna nafasi katika nchi hii kwa sasa. JPM piga kazi, tunapiga kazi, nchi isonge mbele.
Pamoja na kusisitiza kufanya kazi (Piga kazi), rekebisha neno lenye rangi nyekundu hapo juu lisomeke " HAUNA" ili kuweka sawa maana na matumizi ya neno. Tunaendelea kufanya kazi. Asante
 
Kweli hakika nimekubaliana na Jacob kuwa chadema wengi ni taka taka tuu.....kumbe kelele zote zile za Mbowe ilikuwa ni kuwadanganya wasio jua kuwa alikuwa anajua kuwa Lowasa anglikwenda ikulu.....

hahahaha Leo hii Lowasa amekwenda kukutana na Mbowe kupeleka mrejesho kwa aliyemtuma....

Mbowe mjanja sana.......
wewe hujaelewa, alitoa taarifa baada ya kurudi ikulu...
 
Back
Top Bottom