Tehe tehe....watasema ni roboti limepandikizwa. Hawashindwi hawa mkuu.Hawa wanapoelekea wanaweza kusema yule aliyeenda ikulu na kumsifia Magufuli sio Lowassa
Kweli mkuu lowassa must go, chadema wasimwonee haya na hili litakuwa funzo kwa wanachama wengine wanaofikiri wapo juu zaidi ya chamaKwa nini wakati wa kwenda hakuaga? Tunaaminije alichomwambia mbowe ndo alichokisema ikulu? Lowasa umenichafua sana!
Auna = hauna?Usanii auna nafasi katika nchi hii kwa sasa. JPM piga kazi, tunapiga kazi, nchi isonge mbele.
Hapo Mbowe anasema "yerewiii yesuu na maria", duh.