Pole sana mkuu! Heri kuzima kuliko kupata ajali. Mkuu wewe ni mzaramo nini? Maana sisi wa bara huwa twaelekea makwetu.Nipo njiani, nimetoka Moro kwenda dar kusherekea sikuu na familia yangu. Nimepanda Abood T 969 ALY, limezima maeneo ya Vigwaza. Tumejaribu kulisukuma haliwaki.
Abood vipi tena, ina maana magari yako hauyafanyii matengenezo kabla yasafari. UNAABISHA, inakera sana.
Pole sana mkuu! Heri kuzima kuliko kupata ajali. Mkuu wewe ni mzaramo nini? Maana sisi wa bara huwa twaelekea makwetu.
Kuharibika kwa gari ni jambo la kawaida, ndo maana watangulizi walisema Usafiri Kafiri!
Ila najua una munkari kwasababu unataka kuungana na familia yako haraka iwezekanavyo!
Pole mkuu, vumilia, kama ankara inaruhusu badili usafiri!
nikome kusafiri au nikome kupanda magari ya Abood?.
Ukome!
taahira wa akili na fikra!
Nipo njiani, nimetoka Moro kwenda dar kusherekea sikuu na familia yangu. Nimepanda Abood T 969 ALY, limezima maeneo ya Vigwaza. Tumejaribu kulisukuma haliwaki.
Abood vipi tena, ina maana magari yako hauyafanyii matengenezo kabla yasafari. UNAABISHA, inakera sana.
Ukome!
vyovyote vile.
kwani we mwenzangu ulishapona utaahira?kama ni ivo kumbe hakuna mgonjwa atayeshindikana.ata wewe umepona!
nunua lako, kumbe na ubishi wote humu ndani huna ata vitz kwel magamba wanatumia cheap leba...
Comment nyingine bana! pole sana Mzee. thanx God umeshapata usafiri mwingine. Bon voyage!
Anaujua mtaa unaoishi,atakutafuta akusabakhi!taahira wa akili na fikra!