Abood Bus Service this is too much!

Abood Bus Service this is too much!

unakosea mzee mimi sipo kuwaharibia chochote na niwazi mimi siezi kufanya hivyo, chamsingi nenda kituo cha police pale ubungo uombe kujua hili swala naloongelea utapata ukweli. Nachofanya nikuimarisha huduma zao na kuwafungua watu macho wasipatwe na kilichonipata.

Mkuu umenifungua macho huwa nasafari sana kwa aboud dar moro lakini hata siku sijawai kuamini hizo carriers zao mimi kila wakati nikiwa kwenye gari laptop huwa iko mbavuni nimepakata.pole na asante kwa somo Mungu atatenda jambo ktk hili
 
Nakumbuka lecturer wetu alisha ibiwa begi lake likiwa na laptop na documents baadhi hivyo hii tabia inaonesha inazidi kukomaa kwa sana. Cha msingi tuwe makini na mzigo yetu mda wote wa safari.
 
Pole sana. Natambua ulivyoumia. Mi mwenyewe nimewahi kuibiwa laptop kwenye Abood ya asubuhi wakati nikienda ku-defend thesis. Bahati backup flush nilikuwa nayo mfukoni. Luna mzunguko wa wauza magazeti na urembo pamoja na wasindikizaji bandia. Hawa hushirikiana Na wakaguzi wa tiketi. Ni ngumu kidogo kwani wakati was kuibiwa Luna kupumbazwa Na hekaheka za kundi hilo nililotaja. Trick muhimu abiria bandia hujifanya kukosea seat. Basi wakati anahama ndipo anaondoka na mzigo uliolengwa. Wakati huo wewe unakuwa unazubaishwa Na wauza magazeti au vipodozi.
 
Shit!!!!!mbona ni kama umetumwa kuharibu biz za watu mkuu?nimetumia abood kwa miaka11 sasa,never hear that sound.Alafu unaibiwaje wakati beg ipo ndani kwenye kelia na unaiona?pil yale mabasi huwa hayana konda wala utingo,pili huwa wanapanda wale wauza korosho na juice ambao si rahisi kuiba,wewe vp uibiwe?

yawezekana wewe ndio uliiba, yeye amekwambia kaibiwa then unapinga, nazani bado hujaibiwa wewe.? Usichukulie kila mtu anaeibiwa kafanya uzembe.
 
Shit!!!!!mbona ni kama umetumwa kuharibu biz za watu mkuu?nimetumia abood kwa miaka11 sasa,never hear that sound.Alafu unaibiwaje wakati beg ipo ndani kwenye kelia na unaiona?pil yale mabasi huwa hayana konda wala utingo,pili huwa wanapanda wale wauza korosho na juice ambao si rahisi kuiba,wewe vp uibiwe?

Hiyo miaka 11 ni marangapi umebeba laptop?
 
Pole sana kwa yaliyokukuta....kinachotokea ni kwamba kuna watu wanakataga tiketi wakijifanya wasafir na hao ndio wahusika wakuu....bt ck nyingine waga wanatoa angalizo kuhusu vibaka hao
 
Shit!!!!!mbona ni kama umetumwa kuharibu biz za watu mkuu?nimetumia abood kwa miaka11 sasa,never hear that sound.Alafu unaibiwaje wakati beg ipo ndani kwenye kelia na unaiona?pil yale mabasi huwa hayana konda wala utingo,pili huwa wanapanda wale wauza korosho na juice ambao si rahisi kuiba,wewe vp uibiwe?

hebu ondoa siasa zako huko..watu wanaumia kila siku wewe unaleta stori za miaka... utakaposafiri tena especialy kutoka moro kuja dar..weka begi la mgongoni au la laptop kwenye carrier ya ndani halafu .urudi tena humu
 
Abood najua ni moro dar au wana route nyingine zaidi ya hiyo?.Je wewe umeibiwa kwenye route gani

Wanaenda hadi Iringa-Mbeya-Tunduma... Wizi wa vyeti sasa hivi nimkubwa sana. Sasa hivi hakuna kulala....ukilala tu lazima wafanye yao.....
 
Ngoja hii kitu ntaifanyia utafiti. Ntakula ndizi mbivu halafu najaza maganda kwenye begi la laptop! Nikiingia naliweka kwenye carrier ya ndani halafu najifanya sina habari wakati akili yangu yote ipo hapo....akilichomoa begi namuacha alichukue hadi afike nalo mlangoni. Namrukia kung-fu kama za bruce lee....kudadadeeeeki zao!
we jamaa NOUMEEEER!NI SHIDRRRR!
 
Pole sana. Natambua ulivyoumia. Mi mwenyewe nimewahi kuibiwa laptop kwenye Abood ya asubuhi wakati nikienda ku-defend thesis. Bahati backup flush nilikuwa nayo mfukoni. Luna mzunguko wa wauza magazeti na urembo pamoja na wasindikizaji bandia. Hawa hushirikiana Na wakaguzi wa tiketi. Ni ngumu kidogo kwani wakati was kuibiwa Luna kupumbazwa Na hekaheka za kundi hilo nililotaja. Trick muhimu abiria bandia hujifanya kukosea seat. Basi wakati anahama ndipo anaondoka na mzigo uliolengwa. Wakati huo wewe unakuwa unazubaishwa Na wauza magazeti au vipodozi.

MKUU UMEUDIA SANA NENO LUNA AU kiboyezeo chako hakina k? kwamba sasa isomeke kuna? rekebisha sawa?
 
hapo juu ni neno umerudia...mi nimeona nimerekebisha fasta kabla ya warekebisha lugha hawajaja...ha haaa ha!
 
Ndugu wanajamii nimepatwa na jambo la kuumiza sana na naamini tupo wengi wahanga wa kuibiwa katika hizi bus za abood, nasema hivi kwakulingana na wingi wa taarifa ambazo police wamekua wakipokea kutoka kwa abiria wa mabasi hayo.

Binafsi nimeibiwa begi ktk basi hilo lililo kua na vyeti vyangu vyote toka shule ya msingi hadi chuo kikuu, na vinginevyo ikiwepo laptop na simu.

Ombi: Kwa mwanajamii yeyote atakae weza kuona vyeti popote naomba tuwasiliane kwa hii namba 0752172710

Angalizo: ukipakia haya mabasi usiweke begi chini ya miguu yako au juu ya keria ni bora uweke ktk boot nje au upakate.

Hofu: je ni kweli abood service wameshindwa kudhibiti hii hali?, na vipi kuhusu police pia wao hawana mbinu za kudhibiti uhalifu wa aina hii?
Na je ushirika wa police na wamiliki pamoja na police jamii hawafui dafu pia kwa wezi hawa?

Tafadhali naombeni mawazo yenu ndugu Watanzania wenzangu.
Pole mdau,pole sanaaa,ila hujaweka JINA LAKO NI NANI,NILISKIA TANGAZO SOMEHWERE KUNA MDAU KAPOTELEWA VYETI KWENYE BASI,
SASA NAKUSHAURI,PAMOJA NA WADAU WENGINE,UNAPOKUA UNASAFIRI KAMA UNA BEGI DOGO LA KUINGIA NALO NDANI,TAFADHALI LIPAKATE,LIWE NA LAPTOP AU VITU VINGINE AS LONG NI DOGO PAKATA,JAMBO LA PILI KAMA UNAWEKA KWENYE KERIA YA NDANI BASI UKIKAA UPANDE WA KUSHOTO LIWEKE KERIA YA KULIA UWE UNALILINDA,SASA HAPO USISINZIE MDAU,NA KWENYE KUCHIMBA DAWA,USIONE SOO,SHUKA NALO(HILI HUWA NALIFANYA SANA) KWA AJILI YA FAIDA YAKO
Hili tatizo si kwa abood tu (SINA INTEREST) kwa mabasi yote mdau,kuna abiria wanawinda, wanakata tiket kama abiria kumbe wezi
 
hebu ondoa siasa zako huko..watu wanaumia kila siku wewe unaleta stori za miaka... utakaposafiri tena especialy kutoka moro kuja dar..weka begi la mgongoni au la laptop kwenye carrier ya ndani halafu .urudi tena humu
mandieta tatizo lipo na kuna wafanyakazi wastaarabu wa abood hutangaza kabisa kuwa abiria wawe makini na wezi,hili nimeliskia zaid ya mara 1 ubungo,abiria wa abood tunataarifiwa kujihadhar na wez
 
Last edited by a moderator:
Pole mdau,pole sanaaa,ila hujaweka JINA LAKO NI NANI,NILISKIA TANGAZO SOMEHWERE KUNA MDAU KAPOTELEWA VYETI KWENYE BASI,
SASA NAKUSHAURI,PAMOJA NA WADAU WENGINE,UNAPOKUA UNASAFIRI KAMA UNA BEGI DOGO LA KUINGIA NALO NDANI,TAFADHALI LIPAKATE,LIWE NA LAPTOP AU VITU VINGINE AS LONG NI DOGO PAKATA,JAMBO LA PILI KAMA UNAWEKA KWENYE KERIA YA NDANI BASI UKIKAA UPANDE WA KUSHOTO LIWEKE KERIA YA KULIA UWE UNALILINDA,SASA HAPO USISINZIE MDAU,NA KWENYE KUCHIMBA DAWA,USIONE SOO,SHUKA NALO(HILI HUWA NALIFANYA SANA) KWA AJILI YA FAIDA YAKO
Hili tatizo si kwa abood tu (SINA INTEREST) kwa mabasi yote mdau,kuna abiria wanawinda, wanakata tiket kama abiria kumbe wezi

mkuu sikuweka taarifa za ndan zaidi ktk vyeti nikijua wazi endapo yupo msamaria mwema kavipata asije rubuniwa na kuvitoa, chamsingi kama umebaatika kusikia habari yakua vyeti vimeonekana popote na havina mwenyewe naomba unisaidie kupata mawasiliano au kujua niwapi wametangaza ili niwatafute niongee nao binafsi.
 
Inabidi wataalamu wa electronics watunusuru na hili
Kwani hata ukimpata mwizi polisi hawakusaidii kwa lolote, zaidi tupe pesa ya vocha ili tumpigie mpelelezi
idea: unategeneza bomu dogo unaliweka lwenye laptop bag unasafiri nalo mwizi akikuibia linalipuka pale atakapo fungua zipu ya begi..
Watakomaje
 
Shit!!!!!mbona ni kama umetumwa kuharibu biz za watu mkuu?nimetumia abood kwa miaka11 sasa,never hear that sound.Alafu unaibiwaje wakati beg ipo ndani kwenye kelia na unaiona?pil yale mabasi huwa hayana konda wala utingo,pili huwa wanapanda wale wauza korosho na juice ambao si rahisi kuiba,wewe vp uibiwe?
Hii kitu inatokea sana watu wengi wamelizwa kuna vijana wameona fursa katika hili wanapanda wakijifanya abiria wanashuka njiani na mizigo ya wenzao, wanaanza kukufuatilia kabla ujapanda wakiangalia ni mzigo gani waweza kuwa na thamani hasa Laptop, hivyo amafanya vizuri kutoa angalizo! Upande wa Kampuni kwa kuwa matukio yamekuwa mengi ingekuwa vizuri kama wangekuwa wanatoa angalizo kila safari inapoanza kwani kwa sasa hali ni mbaya. Vile vile simulizi zilizopo ni kuwa wanafahamika vizuri sana kwa wafanyakazi wa kampuni ya Abood hivyo ni wakati muhafaka kukomesha hili
 
pole sana chief....lakini ulipoibiwa ulichukua hatua gsni za kisheria? kama hujachukua wachukuliw haraka sana
 
mkuu sikuweka taarifa za ndan zaidi ktk vyeti nikijua wazi endapo yupo msamaria mwema kavipata asije rubuniwa na kuvitoa, chamsingi kama umebaatika kusikia habari yakua vyeti vimeonekana popote na havina mwenyewe naomba unisaidie kupata mawasiliano au kujua niwapi wametangaza ili niwatafute niongee nao binafsi.

pole sana mdau
 
Inabidi wataalamu wa electronics watunusuru na hili
Kwani hata ukimpata mwizi polisi hawakusaidii kwa lolote, zaidi tupe pesa ya vocha ili tumpigie mpelelezi
idea: unategeneza bomu dogo unaliweka lwenye laptop bag unasafiri nalo mwizi akikuibia linalipuka pale atakapo fungua zipu ya begi..
Watakomaje

hahahahaa,,,mdau kama zipu mbovu,,,ikifungukia ndan ya bas je?
 
Back
Top Bottom