Abood Bus Service this is too much!

Abood Bus Service this is too much!

wangekuwa wezi wanakatwa mikono haya yote yangepungua sana

Wangeruhusu abiria tu kuingia stand na kwenye mabasi labda shida ingekwisha, lakini humo wanaingia wauza vocha, wauza ndizi, wauza magazeti, wauza maji nk, kwa mazingira hayo watakosekanaje wezi?
 
Kampuni inabidi kuanzisha taratibu ya kutoa luggage tag kama kampuni za ndege(AZam marine inayo utaratibu huu usafiri wa meli)

Bag tags, also known as baggage
tags, baggage checks or luggage
tickets, have traditionally been used
by bus, train and airline companies to
route passenger luggage that is
checked on to the final destination. The
passenger stub is typically handed to
the passenger or attached to the ticket
envelope: a) to aid the passenger in
identifying their bag among similar
bags at the destination baggage
carousel; b) as proofstill requested at
a few airportsthat the passenger is
not removing someone else's bag from
the baggage reclaim hall; c) as a
means for the passenger and carrier to
identify and trace a specific bag that
has gone astray and was not delivered
at the destination.


Unajua watakachokujibu hapa watakuambia hiyo ni level ya juu sana sisi hatujafikia huko badala ya kuuchukua ushauri na kuufanyia kazi
 
Back
Top Bottom