Abood Bus Service na "Siti za Ndoo'

Abood Bus Service na "Siti za Ndoo'

Ndani ya Yutong mpya jamani leo nimenaswa kwa Ndoo nyuma ni siti namba 58, na safari inaendelea tupo mikese narejea dar

unamaana unasafiri umekalia ndoo kwenye corridor ya bus badala ya kiti??
 
asante Jerhi utujuze kama umefika salama na sehemu zako za haja kubwa
 
BM bus service kiboko yao

IMG-20140806-WA0009.jpg
 
hapana mkuu.....nina kichwa kigumu sielewi aliposema 'amenaswa kwa ndoo nyuma siti namba 58' anamaanisha nini? ndio maana nimeuliza.
sawa sawa ................nimekuoppata Brondo, niliadhani huamini kama ni kweli wanakalia siti za ndooo, hizo siti ukipewa tiketi inakuwa na namba ya siti lkn unaambiwa ukalie ndoo
 
sawa sawa ................nimekuoppata Brondo, niliadhani huamini kama ni kweli wanakalia siti za ndooo, hizo siti ukipewa tiketi inakuwa na namba ya siti lkn unaambiwa ukalie ndoo

na wewe unakubali kwa moyo mkunjufu???!!
 
Si kwa kuwa ndoo hazijakaliwa tu, bali hata hilo bus tutajuaje kama ni kweli la Abood?
tunajua hofu yako ni hilo jina la ''abood''.ingekuwa ni john bus services usinge "horojoka" kwa maswali ya kitoto namna hii.mleta mada Amavubi mpuuzie huyu mdini,atakuharibia siku.
 
Last edited by a moderator:
tunajua hofu yako ni hilo jina la ''abood''.ingekuwa ni john bus services usinge "horojoka" kwa maswali ya kitoto namna hii.mleta mada Amavubi mpuuzie huyu mdini,atakuharibia siku.

Wasiwasi wako ndiyo maradhi yako. Na hilo lipo kwenye moyo wako.

Wewe umejuaje kama hilo ni Abood? umeota au umesikia ya kuambiwa tu?

Na hayo ya dini anayaleta nani kama si wewe?

Kumbuka; Kama udini ni Uislam basi naam, mimi ni mdini namba moja. Usisahau hilo.

Punguani wahed.
 
mwenyewe:eyebrows:
 
tunajua hofu yako ni hilo jina la ''abood''.ingekuwa ni john bus services usinge "horojoka" kwa maswali ya kitoto namna hii.mleta mada Amavubi mpuuzie huyu mdini,atakuharibia siku.

Mkuu huyo bibi kizee ana matatizo hasa wala si kidogo
 
duh, haya........................

ukweli ni kuwa mabasi ya abood wengi wetu tunayaamini kwa miaka mingi kwa huduma bora na za uhakika.hizo picha na lawama hazina msingi.ni upinzani wa kibiashara.ndio maana mabasi ya abood yanapata abiria wengi.myonge myongeni haki yake mpeni.utafiti unaonyesha kuwa wapinzani wameshindwa kibiashara ndio maana wanatapatapa.leo mikutano ya chadema inajaa watu kupindukia kwa nini?sera nzuri.vivyo hivyo mabasi ya abood nayo yana wapenzi wengi sana na wengi wanayakimbilia kwa huduma nzuri sana .una uhakika wa safari
 
mie ndo maana huwa napanda shabiby la saa tano, hamna mazagazaga kama haya
 
Rekebisha halafu kanisome vizuri nilichokiandika, wacha kiherehere.

achana nao hao to challenge abood bus ni kazi kubwa hao wapinzani haingii akilini maelfu ya watanzania wanakimbilia kupanda mabasi haya halafu wengine wanayaponda.nasikia yanakuja mengine 50 ya kisada kabisa this is what we need watanzania wameamka wanataka mambo ya kisasa.well done abood.
 
Back
Top Bottom