Abood Bus Service na "Siti za Ndoo'

Abood Bus Service na "Siti za Ndoo'

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,268
unnamed.jpg

si kwamba shida ya maji imefikia kiasi cha mtu kwenda na basi kuyachota Morogoro, Unachoona pichani ni siti za ziada kwenye mabasi mapya kabisa ya Abood ambapo nilipata kusafiri nalo. Ukiingia utaziona Ndoo hizi zikiwa siti ya nyuma kabisa na utadhani ni mzigo wa fellow passengeer kumbe ni siti za ziada, cha ajabu kabisa ni kuona abiria wakipewa tiketi kwa kukalis 'siti' hizo

Ni kweli kwamba awali Abood ililkuwa na Three by two sitter, hivyo huenda kutokana na kuongeza Youton za two by two ameamua kuongeza siti za kienyeji.

Sina zaidi.
 
Mbona hizo ndoo hazijakaliwa na mtu? tutaamini vipi kama si ufataani tu?
hapo walikua wameshuka mizani, isingekuwa rahisi kuwapiga wahusika bila waiver, but amini tu FF.......labda kama una imani ya Tomaso
 
Mbona hizo ndoo hazijakaliwa na mtu? tutaamini vipi kama si ufataani tu?
sina maslahi yoyote kwenye sekta ya mabasi, hadi niseme uongo/singizie Faiza Fox, hivyo nim share tu nilichoona kwa macho FF, lakn upo sahihi kudai ushahidi kama alivyofanya Tomaso
 
kama mtu mwingine amewahi kusafiri au atasafiri na mabasi hayo anaweza kuleta ushahidi zaidi
 
Kilichoandikwa ni kweli, safari za mabasi haya Dar Moro ni za kuiba abiria njiani kisha ukifika chalinze anawashusha na kuwambia watangulie mbele mdogomdogo ili apite kizuizi cha ukaguzi vizuri kisha mbele kidogo anawapakia hivo hivo na hao jamaa wa ndoo nauli zao ni 5000/=
 
Safiri na Aboud bus Service ujionee vioja njiani. Pesa haramu
 
Kilichoandikwa ni kweli, safari za mabasi haya Dar Moro ni za kuiba abiria njiani kisha ukifika chalinze anawashusha na kuwambia watangulie mbele mdogomdogo ili apite kizuizi cha ukaguzi vizuri kisha mbele kidogo anawapakia hivo hivo na hao jamaa wa ndoo nauli zao ni 5000/=
MWAMBIE FAIZA Fox
 
only in Tanzania
 
Back
Top Bottom