Abood Bus Service na "Siti za Ndoo'

Abood Bus Service na "Siti za Ndoo'

naona FF ANANIPINGA KWA NGUVU ZOTE

Ikiwa kukutanabahisha kuwa picha na maneno yako haviendani ndiyo kukupinga, basi kweli nakupinga, lakini si nguvu zote. Nguvu zangu za hoja ni nzito sana kuliko ufikiriavyo.

Hizo picha ulizoweka, kwanza ndoo hazijakaliwa ni kinyume na maneno yako, pili basi la Abood umesema wewe lakini picha hazioneshi kuwa basi ni lipi, linaweza kuwa lolote, hata lako.
 
Dereva wa Abood wana njaa sana, mshahara kwa mwezi ni laki2, na hakuna marupurupu mengine yyt yale.

Hapo watakuwa wanajaribu kujitafutia riziki ya ziada ili watoto wao waweze kwenda chooni???
 
kilichonishangaza ni zile tiketi, kwamba iko official?
Dereva wa Abood wana njaa sana, mshahara kwa mwezi ni laki2, na hakuna marupurupu mengine yyt yale.

Hapo watakuwa wanajaribu kujitafutia riziki ya ziada ili watoto wao waweze kwenda chooni???
 
kwahili naweza kuamini sasa maana kuna mdau wamabasi haya anasema mambo yameenza kuwa simazuri kinidhamu katika kampuni ya ABOOD BUS SERVICE. Madereva na makonda feki wapo sana wanakula vichwa njianii bus linaweza kusimama vituo vyote vya njia ya DAR-MORO
 
ni kweli hii nimeshuhudia wakati wa kwena Moro, ndiyo maana siku hizi unatumia masaa manne, stoppage nyingi sana mpondamali
 
ni kweli kabisa,, nyingine nilisafiri nayo lilikuemo kret tupu la soda abiria kakalia... naona mapato yameshuka kwenye yutong.... zile marcopolo siti zake ni 3 by 2
 
Hivi mtu analazimishwa kukalia ndoo au anapenda mwenyewe kukaa kwenye ndoo...?.

Kama siti zimejaa abiria anazuiwa kushuka na kupanda gari nyingine kwani...?.
 
ni kweli kabisa,, nyingine nilisafiri nayo lilikuemo kret tupu la soda abiria kakalia... naona mapato yameshuka kwenye yutong.... zile marcopolo siti zake ni 3 by 2
namimi naona, watakua hawakusoma alama za nyakati?
 
arguement hii sio ya ki GT
Hivi mtu analazimishwa kukalia ndoo au anapenda mwenyewe kukaa kwenye ndoo...?.

Kama siti zimejaa abiria anazuiwa kushuka na kupanda gari nyingine kwani...?.
 
yaah,,kanunua zile yutong kimazoea hakuchek mbele kuna nn....kanunua a.c tu pale
HATA AC hawawashi, na hiyo huenda ni njaa ya maderev maana nasikia mara nyingine wanawasha, ningeshauri walau wafanye elfu kumi na huduma ziwe bora waache uswahili maana wateja wanakimbia
 
Inaelekea nyuma ilipopigwa picha ndoo nyingine bado zipo na pengine kuna watu wamezikalia, hizo ndoo zinazoonekana pengine hazijapata watu au kukiwa na watu mbele ya safari(njiani) wataendelea kusanya.

Kama ingekuwa ndoo za abiria nina uhakika zingewekwa kwenye buti
 
Kumbe kilichokuwa kinatafutwa ni CCM. Kweli ujinga ni ugonjwa mbaya ukichanganyika na hasda na wivu basi tiba inakuwa ngumu. Ndoo unazosema wanakalia abiria ni uzushi tu.Gari za kwenda Moro na kurudi zipo nyingi mtu akalie ndoo? Analipa 1000 kama nauli?
 
Back
Top Bottom