Abood Bus Service na "Siti za Ndoo'

Abood Bus Service na "Siti za Ndoo'

asante Jerhi utujuze kama umefika salama na sehemu zako za haja kubwa

Zile ndoo ni ndogo aisee kufika chalinze hivi makalio yanauma ni shiida, mitaaa ya kwa mathius hivi ndio nikapata kiti hapo usingizi mpaka nafika Kibo Ubungo nashuka nikaona bora nijipatie uthibitisho wa picha ndio hii- ndoo ya blue ndio siti namba 58 niliyokalia leo na Kijani mbele ni siti namba 59, isitoshe tulipofika Bwawani akapikia abiria sita hao wakasimama mpka Maili moja, vile vile pale dashboard akawa na abiria 4

Mfumo wa kunasa kwa siti ni pale ukikuta yutong ndio inaachia geti la msamvu basi hapo ndio siti za ndoo na creti hukatiwa tiketi, na inakuwa hivo kwa sababu kusubiri bus jingine lijae kwa nusu saa unaona unachelewa kufika Dar.
 
Attachments

  • 1426274944582.jpg
    1426274944582.jpg
    64.5 KB · Views: 245
  • 1426274967804.jpg
    1426274967804.jpg
    72.3 KB · Views: 209
asante sana kwa ushihdi wa picha nyingine
Zile ndoo ni ndogo aisee kufika chalinze hivi makalio yanauma ni shiida, mitaaa ya kwa mathius hivi ndio nikapata kiti hapo usingizi mpaka nafika Kibo Ubungo nashuka nikaona bora nijipatie uthibitisho wa picha ndio hii- ndoo ya blue ndio siti namba 58 niliyokalia leo na Kijani mbele ni siti namba 59, isitoshe tulipofika Bwawani akapikia abiria sita hao wakasimama mpka Maili moja, vile vile pale dashboard akawa na abiria 4

Mfumo wa kunasa kwa siti ni pale ukikuta yutong ndio inaachia geti la msamvu basi hapo ndio siti za ndoo na creti hukatiwa tiketi, na inakuwa hivo kwa sababu kusubiri bus jingine lijae kwa nusu saa unaona unachelewa kufika Dar.
 
idadi ya siti zimepungua hali nauli ni ile ile buku saba so analazimika kuongeza siti za kienyeji
Zile ndoo ni ndogo aisee kufika chalinze hivi makalio yanauma ni shiida, mitaaa ya kwa mathius hivi ndio nikapata kiti hapo usingizi mpaka nafika Kibo Ubungo nashuka nikaona bora nijipatie uthibitisho wa picha ndio hii- ndoo ya blue ndio siti namba 58 niliyokalia leo na Kijani mbele ni siti namba 59, isitoshe tulipofika Bwawani akapikia abiria sita hao wakasimama mpka Maili moja, vile vile pale dashboard akawa na abiria 4

Mfumo wa kunasa kwa siti ni pale ukikuta yutong ndio inaachia geti la msamvu basi hapo ndio siti za ndoo na creti hukatiwa tiketi, na inakuwa hivo kwa sababu kusubiri bus jingine lijae kwa nusu saa unaona unachelewa kufika Dar.
 
kama mtu mwingine amewahi kusafiri au atasafiri na mabasi hayo anaweza kuleta ushahidi zaidi

Nimewahi kusafiri hivyo ila si Abood nilikuwa natoka Mwanza - Tabora kumbe Trafic wanajua hiyo kufika njiani wakalisimamisha afande akasema "naomba ndoo zangu" alibeba zote akaruhusu gari mbele kidogo kakamatwa tena kwa kosa la kusmamisha abiria.
 
hii imekaa vyema sana
 
najiuliza tu inawekana kweli kwamba hata wale wakaguzi hawajui au ndio wanakula na maderevsababu mmiliki hana muda?
 
Hivi mabasi ya Abood Dar-Moro yana Makonda? Nijuavyo mie (ila sijasafiri kitambo kidogo) haya mabasi yakishaondoka Msamvu au Ubungo huwa hayana konda huwa ni dereva pekee yake
 
ni kweli hayana makonda, nilichoshuhudia dhahiri ni kwamba aidha dereva mwenyewe anachukua chake mapema au wale wauza korosho maji na juis huwa wanamsaidia dereve kukusanya chake, ila inaonekana ni mtandao maana linapoondoka Dar au Moro wale wa chini wanapigia chapuo abiria kujazana na mara ya mwisho hata mmojawapo walioonekana waratibu wa kiwango cha lami alikua akipigia debe abiria kujazana
 
Hizi gari si za muheshimiwa flani? je mwenyewe anajua huu mchezo? simtetei ila sidhani kama hayo maagizo yametoka kwake
 
Back
Top Bottom