silasc
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 3,346
- 1,988
Ok. Ngoja tuone mkuu.Basi za dar mwanza zimeshafungwa GPS kwa majaribio...
Ok. Ngoja tuone mkuu.Basi za dar mwanza zimeshafungwa GPS kwa majaribio...
Nakubaliana na weweBora safari ya usiku,tochi zimekua kero sana.Yaani wanajificha maporini kisha unaonyeshwa picha eti umezidi speed 63 km/hr.Kenya wanasafiri usiku.Uchumi wetu utakua maana MTU atachagua asafiri muda gani baada ya kumaliza shughuli zake.Tutakua na uchumi wa SAA 24
Lakin Zambia hakuna time limit ya kusafiriKwa sasa hakuna safari za usiku kwa mabasi pale nakonde
Si bora 63 mimi nilikamatwa na 54..Bora safari ya usiku,tochi zimekua kero sana.Yaani wanajificha maporini kisha unaonyeshwa picha eti umezidi speed 63 km/hr.Kenya wanasafiri usiku.Uchumi wetu utakua maana MTU atachagua asafiri muda gani baada ya kumaliza shughuli zake.Tutakua na uchumi wa SAA 24
Nakonde mabasi yanaondoka saa 8 mchana to LusakaKwa sasa hakuna safari za usiku kwa mabasi pale nakonde
Zambia ipi hiyo unayoisema ndugu!Lakin Zambia hakuna time limit ya kusafiri
Naona jamaa hajui mfahamishe... nakonde pale basi ni asubuhi zinaanza safari na si jioni kama awali....Zambia ipi hiyo unayoisema ndugu!
Wiki ya tatu sasa niko hapa Solwezi. Baada ya ajari za mara kwa mara za mabasi kutokea usiku, hadi kupelekea baadhi ya kampuni kufungiwa, serikali ya hapa ilipiga marufuku safari za usiku nchi nzima.
Kwa hiyo na hapa ni kama huko kwetu, hakuna safari za mabasi usiku!
Unaweza kuangalia kwenye mitandao ya mabasi ya huku, ratiba zipo wazi mfano: Juldan Motors, UGL, Mazhande Family, Wada Chovu, Power Tools na Jitotwe. Ratiba zao zinaonyesha hakuna safari usiku.
Nafikiri hujaenda siku nyingi huko mkuu. Hakuna kitu kama hicho.Nakonde mabasi yanaondoka saa 8 mchana to Lusaka
We unaongelea Nakonde ya wapi? Nenda pale bus stand saa 10 alhasiri ukapande bus kwenda Lusaka. Msalimie mbunge Mwana wa PakayaKwa sasa hakuna safari za usiku kwa mabasi pale nakonde
Dereva anakuwa amechoka vipi gari linapoondoka saa 10 jioni au saa 11. Kumbuka dereva anayeanza kuendesha saa 12 alfajiri kila siku anakuwa amechoka zaidi kuliko anayeanza safari mchana. Cha muhimu ni kuimarisha GPS tracking tu ili spidi isizidi 80 na barabara ziwe na uboraWatulize mzuka kwa faida yao. Highway zetu zote zimejaa mahandaki. Si rahisi dereva kuyaona yote usiku huku akiwa naye amechoka. Hayo ya majambazi na malori yasiyo na reflectors ni nyongeza tu.
Ni tanzania tu ndiyo inakuwa majanga, mbona wenzetu zambia Zimbabwe kenya na uganda gari za abiria zinasafiri ucku na hakauna baya linatokea ? Tatizo tumekariri kuwa haiwezekani lakini kama ikitolewa elimu ya kutosha hakuna linaloshindikanaKweli mkuu kusafiri usiku sana majanga muda mwingine