Abiria wa mikoani waomba kusafiri usiku

Abiria wa mikoani waomba kusafiri usiku

Kwa mujibu wa kanuni za Sumatra mabasi yote ya masafa marefu yanakuwa na madereva wawili. Pia mabasi yenye management nzuri kama Dar Lux yule dereva wa pili ndio anatoa huduma kwa Abiria huku anasinzia sinzia. Tatizo nyie watu wa Dar hata likizo hamuendi
Umeshajibiwa kuhusu madereva wawili kwenye post yenyewe. Vipi, bichwa gumu kuelewa! Nadharia za Sumatra ni moja na uhalisia wa mambo ni kitu kingine. Kanuni yenye maana mi ile inayozingatia uhalisia wa mambo.
 
Kuna mantiki kiasi lakini kwa barabara ya moro dar usalama ni mkubwa na kwa eneo hilo waruhusiwe muda wote.
 
Hayo majanga ni tz tu huko kwingine majanga hayatokei...biashara ya kenya unakula chakula cha usiku kwako then unaenda stand unaondoka....unalala kwa bus ukiamka ushafika uendako....

Sent from my GT-I9105P using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom