Abiria wa mikoani waomba kusafiri usiku

Abiria wa mikoani waomba kusafiri usiku

Muulize Mzee John Samweli Malekela atakwambia habari ya kusafiri usiku na madhara yake huko tuliko toka.
Sio kwa sasa,iwekwe mikakat madhubut watu wasafiri usiku.
Dar-Mwanza siku 2!

May Allah bless Me and You
 
Nimeshitukia hii ishu, uikute watu wanataka kusafiri usiku ili wapigane vidole tu na kunyonyana koni. Wabongo kwa vituko bwana.
 
Isibania 2 Nairobi mabasi yanaondoka saa 11 jioni? Wakati flan nilitaka kupita isibania nikafika saa 6 mchana nikaambiwa mabasi ya Nairobi mpaka kesho yaKe
Saivi yanasafiri jion waliruhusu mm niko hapa

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Ni tanzania tu ndiyo inakuwa majanga, mbona wenzetu zambia Zimbabwe kenya na uganda gari za abiria zinasafiri ucku na hakauna baya linatokea ? Tatizo tumekariri kuwa haiwezekani lakini kama ikitolewa elimu ya kutosha hakuna linaloshindikana
aseeh
 
Bora safari ya usiku,tochi zimekua kero sana.Yaani wanajificha maporini kisha unaonyeshwa picha eti umezidi speed 63 km/hr.Kenya wanasafiri usiku.Uchumi wetu utakua maana MTU atachagua asafiri muda gani baada ya kumaliza shughuli zake.Tutakua na uchumi wa SAA 24
Mkipata ajali kisa dereva ana uchovu muanze kujazia mapicha yaa marehemu mitandaoni.Tumechoaka.Kama unaona basi linalala njiani na hupendi basi panda ndege
 
Dereva anakuwa amechoka vipi gari linapoondoka saa 10 jioni au saa 11. Kumbuka dereva anayeanza kuendesha saa 12 alfajiri kila siku anakuwa amechoka zaidi kuliko anayeanza safari mchana. Cha muhimu ni kuimarisha GPS tracking tu ili spidi isizidi 80 na barabara ziwe na ubora
Hivyo unauelewa wa kutosha wa nchi yako? Dereva anayetoka Bukoba kwenda Dar anabadilishana wapi na dereva mwenzake? Si anang'ang'ania usukani mpaka Dar! Au wewe unafikiri kinadharia kuwa kila Bus lina madereva wawili?! Hebu zinduka ndotoni na rejea Tanzania. Yeye atalala siku ya pili wakati Bus linarudi Bukoba kwa driver mwingine.
 
M nadhani Kama issue ni uchovu basi kuwekwe sheria ya dereva wa mabasi ya abiria route ndefu awe ana umbali maalum wa kuendesha na asizidi hapo. Mfano umbali wa mwanza dar mwisho iwe mwanza dodoma then ndo mwisho wake hadi kesho yake arudi mwanza ama achuke route ya dom dar. Pia na kwa basi lililotumika.

Ila sasa kuwe na mabasi pia yanayoanzia hapo kwenda point nyingine ambayo ni tofauti na yanayofika. Namaanisha msafiri atatoka mwanza na bus A hadi Dodoma na ndo itakuwa mwisho wa basi na dereva then kutakuwa na bus B zinazoanzia Dodoma kwenda dar kwa 24hrs, So ni abiria tu ndo ataruhusiwa kutembea usiku kucha na mchana lkn sio dereva Wala bus maana yatakuwa na ukomo wa umbali mpaka siku inayofuata unless kwa bus na dereva mwingine.

Sheria iwe hivyo tangu wanapoomba leseni ya dereva wa mabasi iwe inaruhusu umbali akikaidi faini na pia wamiliki wa mabasi unapewa route kulingana na umbali ukizidisha weka gari nyingine na dereva mwingine.

Itaongeza ajira na vipato kwa makundi mengi tofauti tofauti.
Angalizo: hii ni kwa route zisizo na uwezekano wa utekaji na ulinzi uboreshwe ili ikiwezekana iwe nchi nzima.

Samahani kwa gazeti

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Halafu mkitekwa na majambazi mnailaumu serikali !!

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
 
Ningeomba tujali usalama wetu kwanza.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Hapa ndo nnapoipongeza
Tu serikali no ku travel ucku

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Kweli mkuu kusafiri usiku sana majanga muda mwingine
Nadhan ni hatari kwa asilimia 100, na kwa kipande cha Dar to Moro ni hatari zaidi kwani malori yanajiachia sana usiku. Ni kweli inachosha kulala Morogoro,lakini ni salama zaidi kuliko kulazimisha kusafir usiku.
 
Nadhan ni hatari kwa asilimia 100, na kwa kipande cha Dar to Moro ni hatari zaidi kwani malori yanajiachia sana usiku. Ni kweli inachosha kulala Morogoro,lakini ni salama zaidi kuliko kulazimisha kusafir usiku.
well said mkuu
 
Mkitembea usiku tutakosa mapato ya kutosha kupitia tochi.
 
Mkipata ajali kisa dereva ana uchovu muanze kujazia mapicha yaa marehemu mitandaoni.Tumechoaka.Kama unaona basi linalala njiani na hupendi basi panda ndege
Usafiri uwepo SAA 24,ni wewe tuu uchague utasafiri la muda gani
 
Hivyo unauelewa wa kutosha wa nchi yako? Dereva anayetoka Bukoba kwenda Dar anabadilishana wapi na dereva mwenzake? Si anang'ang'ania usukani mpaka Dar! Au wewe unafikiri kinadharia kuwa kila Bus lina madereva wawili?! Hebu zinduka ndotoni na rejea Tanzania. Yeye atalala siku ya pili wakati Bus linarudi Bukoba kwa driver mwingine.
Kwa mujibu wa kanuni za Sumatra mabasi yote ya masafa marefu yanakuwa na madereva wawili. Pia mabasi yenye management nzuri kama Dar Lux yule dereva wa pili ndio anatoa huduma kwa Abiria huku anasinzia sinzia. Tatizo nyie watu wa Dar hata likizo hamuendi
 
Ni Tanzania pekee inataka kupata maendeleo bila watu kufanyakazi masaa 24....nchi nyingi Duniani kusafili ni nada wowote....akuna cha usiku wala mchana....

Sent from my ALE-L02 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom