Abdul Nondo kurudi chuoni Januari 4

mashujaa kilamtu anajua walipo,ushujaa wake uko wapi au unatokana na nini?
 
Ushujaa wake ni nini? Kupotea?
Kurejea na kufaulu ni vitu viwili tofauti usisahau hilo!
Ukiwa nanmwazo ya kijinga maisha huonekana rais ila katika uhalisia wake maisha ni sawa na jela. Ushujaa wa nondo unaweza kutuambia, alifanya kitu gani mpaka aitwe shujaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ajiteke tena, itapendeza.
Hebu muambieni huyu dogo sijui maji ya magwanda yamemfanya asifikiri,mambo anayoyasema hapa hata ananitia aibu japo tunatoka wilaya moja ,ama anajitia uwendawazimu au sintofahamu,hivi maana ya neno shujaa sijui kama anajua maana yake.
Huyu ni Shujaa Wa nini
Kwao Shujaa ni yoyote yule anayepingana na serikali for any reason whatsoever. Ila wao wanajificha humu tu hawatoki mbele hata siku moja
Shujaa aliyetekwa na dem!
UVCCM ROHO ZINAWAUMA, MLITEGEMEA KUWA ATAFUNGWA
 
"Maagizo kutoka Juu" hayatakaa yaishe kwa wafanyakazi wa Serikali. Kila mtu ana ndevu huko - Kambale's style. Imefika sehemu hata akina Polepole wanaweza kwenda sehemu na kumuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri kufanya wanayotaka wao, kwa style ya maamuzi kutoka juu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nondo atulie asome sasa! mambo ya siasa na harakati atayakuta tu!
 
Acheni ujinga. Hakuna kitu inaitwa kufelishwa University. Kama unaweza unaweza tu. Kama huwezi huwezi tu. Huyo nondo kama anaweza masomo atafaulu. Hii kitu inaitwa kufelishwa ni maneno ya vilaza
 
Back
Top Bottom