Baba jela miaka 30 kwa kumpondaponda nyeti mtoto wa kufikia

Analog

JF-Expert Member
Apr 4, 2024
222
447
zinajitegemea, basi mfungwa atatumikia adhabu moja moja na hivyo atatumikia kifungo cha jumla ya miaka 3o jela.

Ushahidi wa upande wa mashtaka uliowasilishwa mahakamani

Kwa mujibu wa ushahidi uliotolewa mahakamani hapo, mashahidi wa upande wa mashtaka akiwemo mtoto huyo mwathirika, waliieleza Mahakama jinsi mshtakiwa alivyomfanyia ukatili wa kutosha, waliieleza kuwa alimpondaponda korodsno mtoto huyo na kumpidilia msuri kwenye uume.

Mtoto huyo mwathirika ambaye alikuwa shahidi wa kwanza katika kesi hiyo, aliieleza mahakama kuwa, kati ya Januari 2023, na Januari 2024 mshtakiwa alimpiga mtoto huyo kwa kipande cha nondo, kumponda kwa jiwe korodani ya kulia na damu zilipotoka alimwagia maji ya moto.

Pia alieleza kuwa mshtakiwa alimng'oa jino la juu akimtuhumu kula kupande cha nyama cha mdogo wake na kisha alimpiga kwa kipande cha nondo na kumvunja mkono wake sehemu ya kiwiko na kumsababishia mkono usirurudi kwenye hali yake ya kawaida.

Kwa mujibu wa ushahidi huo, wakati mshtakiwa akimfanyia ukatili huo mtoto huyo, mama yake alikuwepo lakini alishindwa kutoa msaada wowote.

Shahidi wa pili ambaye ni dada mkubwa wa huyo mwathirika aliieleza Mahakama kuwa kati ya Januari 2023 na 2024, mshtakiwa alimtesa mtoto wake wa kufikia wa kiume kwa madai ya kufanya mapenzi na dada yake.

Shahidi huyo alieleza kuwa mshtakiwa alichukua jiwe, kipande cha nondo akaweka korodani na nondo kwa juu, kisha akasaga korodani ya kulia huku akimwambia mtoto wake huyo wa kufikia kuwa anamtia ulemavu,.

Pia shahidi huyo aliieleza Mahakama kuwa alishuhudia uume wa kaka yake ukipigiliwa msumari na kisha kumpiga kwa kipande cha mbao mpaka mkono kuvunjika.

Shahidi wa tatu ambaye ni daktari, aliyemhudumia mtoto huyo, alisema kuwa baada ya kumchunguza mtoto huyo aligundua kuwa korodani ya kulia ilikua imepondwa na kuharibiwa na kwamba pia uume wa mtoto huyo ulikuwa na majeraha yaliyokuwa yamedumu kwa muda kuanzia siku 90 kurudi nyuma.

Hii ni moja kati ya kesi nne zinazomkabili Salange zikiwemo kesi nyingine tena ya ukatili, kesi ya ubakaji dhidi mtoto wake wa kufikia wa kike pamoja na kesi ya mauaji ya mkewe (mama wa watoto wake hao wa kufikia).

Katika kesi hiyo ya mauaji ambayo anadaiwa kuwa alimuua mkewe kisha akamzika ndani ya nyumba, ambayo bado inaendelea mahakamani hapo katika hatua ya uchunguzi, kabla ya kuhamishiwa Mahakama Kuu itakakosikilizwa na kuamuriwa kwa kuwa ndiyo yenye mamlaka ya kusikiliza kesi za mauaji.
 
Nimeshindwa kusoma Hadi mwisho,

Maoni yangu mstakiwa atendewe vile vile alivyomfanyi mtoto,

Huyu mshenzi anaenda Kula msosi wa bure unatokana na Kodi yangu,

Apimiwe kipimo kile kile,
 
Alihisi ziko na tanzanite nn?
Kufia jela uko mzee wa ovyo kabisaa.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Lakini Gekuru yeye anakula bata mtaani
zinajitegemea, basi mfungwa atatumikia adhabu moja moja na hivyo atatumikia kifungo cha jumla ya miaka 3o jela.

Ushahidi wa upande wa mashtaka uliowasilishwa mahakamani

Kwa mujibu wa ushahidi uliotolewa mahakamani hapo, mashahidi wa upande wa mashtaka akiwemo mtoto huyo mwathirika, waliieleza Mahakama jinsi mshtakiwa alivyomfanyia ukatili wa kutosha, waliieleza kuwa alimpondaponda korodsno mtoto huyo na kumpidilia msuri kwenye uume.

Mtoto huyo mwathirika ambaye alikuwa shahidi wa kwanza katika kesi hiyo, aliieleza mahakama kuwa, kati ya Januari 2023, na Januari 2024 mshtakiwa alimpiga mtoto huyo kwa kipande cha nondo, kumponda kwa jiwe korodani ya kulia na damu zilipotoka alimwagia maji ya moto.

Pia alieleza kuwa mshtakiwa alimng'oa jino la juu akimtuhumu kula kupande cha nyama cha mdogo wake na kisha alimpiga kwa kipande cha nondo na kumvunja mkono wake sehemu ya kiwiko na kumsababishia mkono usirurudi kwenye hali yake ya kawaida.

Kwa mujibu wa ushahidi huo, wakati mshtakiwa akimfanyia ukatili huo mtoto huyo, mama yake alikuwepo lakini alishindwa kutoa msaada wowote.

Shahidi wa pili ambaye ni dada mkubwa wa huyo mwathirika aliieleza Mahakama kuwa kati ya Januari 2023 na 2024, mshtakiwa alimtesa mtoto wake wa kufikia wa kiume kwa madai ya kufanya mapenzi na dada yake.

Shahidi huyo alieleza kuwa mshtakiwa alichukua jiwe, kipande cha nondo akaweka korodani na nondo kwa juu, kisha akasaga korodani ya kulia huku akimwambia mtoto wake huyo wa kufikia kuwa anamtia ulemavu,.

Pia shahidi huyo aliieleza Mahakama kuwa alishuhudia uume wa kaka yake ukipigiliwa msumari na kisha kumpiga kwa kipande cha mbao mpaka mkono kuvunjika.

Shahidi wa tatu ambaye ni daktari, aliyemhudumia mtoto huyo, alisema kuwa baada ya kumchunguza mtoto huyo aligundua kuwa korodani ya kulia ilikua imepondwa na kuharibiwa na kwamba pia uume wa mtoto huyo ulikuwa na majeraha yaliyokuwa yamedumu kwa muda kuanzia siku 90 kurudi nyuma.

Hii ni moja kati ya kesi nne zinazomkabili Salange zikiwemo kesi nyingine tena ya ukatili, kesi ya ubakaji dhidi mtoto wake wa kufikia wa kike pamoja na kesi ya mauaji ya mkewe (mama wa watoto wake hao wa kufikia).

Katika kesi hiyo ya mauaji ambayo anadaiwa kuwa alimuua mkewe kisha akamzika ndani ya nyumba, ambayo bado inaendelea mahakamani hapo katika hatua ya uchunguzi, kabla ya kuhamishiwa Mahakama Kuu itakakosikilizwa na kuamuriwa kwa kuwa ndiyo yenye mamlaka ya kusikiliza kesi za mauaji.
 
Aisee mbona hata polisi hatutafika! Hapo laxima tugawane majengo
Pathetic
 
Proud to be...!
Mnafeli wapi?
Kwamba kuwa muumini wa dini kuu sio utakatifu na huu ndio uthibitisho.
kesi zote za hovyo hovyo mahakamani za kwenu!!
 
Back
Top Bottom