Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,624
- 39,995
Kati ya vitu vinavyonikera ni huyu Popoma kutumia avatar ya Picha ya Abdul.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya vitu vinavyonikera ni huyu Popoma kutumia avatar ya Picha ya Abdul.
Unajitangaza ili uolewe?
Alimtumbua Lameck Maderu a.k.a Mwigulu gwa NchembaUshujaa wake ni nini? Kupotea?
Najua wife unanipenda ndiyo maana umeniweka kwa avatarUnajitangaza ili uolewe?
Mwigulu nchemba anafahamu vizuri ushuja wake, waweza kumuuliza.Ukiwa nanmwazo ya kijinga maisha huonekana rais ila katika uhalisia wake maisha ni sawa na jela. Ushujaa wa nondo unaweza kutuambia, alifanya kitu gani mpaka aitwe shujaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaolewa tu. Usiwe na shaka.
Ushujaa wake in kufyatua risasi hewani then ikakata kona na kusambaza ubongo wa akwilini.Ushujaa wake ni nini? Kupotea?
Na wasaka pesa!Mo alitekwa na nani![]()
Hivi lie kopo lake la bodyspray alirudishiwa? Na yule gelofrendi wake wa kujifunika gubigubi amekuja naye?Mtu huyu ambaye amekuwa kijana wa kupigiwa mfano atarejea tena chuoni kuendelea na masomo yake
View attachment 983517
unampenda dume mwenzio hadi kwenye avaterAjiteke tena, itapendeza.
kuwashinda wasiojulikana si jambo rahisi bwanamdogoUkiwa nanmwazo ya kijinga maisha huonekana rais ila katika uhalisia wake maisha ni sawa na jela. Ushujaa wa nondo unaweza kutuambia, alifanya kitu gani mpaka aitwe shujaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Una kilinyelinye.anza weye kama shaka yule aliyekuwa kiongozi wa uvccm aliye na ndoa na bwana salum mpelembwe kule tanga nadhan walijua hilo? kama kiongozi kama mfuasi
ukinitoa tu kwenye avatar wife nakupiga chiniUtaolewa tu. Usiwe na shaka.
akili ndogo kama koroshow kutwa kucha kulamba miguu kama bwana shaka aliyeolewa na salumu mpelembwe nadhan nawe upo kwenye hicho kikundi haiwezekani uwe mzima weye amiiiiUna kilinyelinye.