Abdul Nondo kurudi chuoni Januari 4

Abdul Nondo kurudi chuoni Januari 4

Ukiwa nanmwazo ya kijinga maisha huonekana rais ila katika uhalisia wake maisha ni sawa na jela. Ushujaa wa nondo unaweza kutuambia, alifanya kitu gani mpaka aitwe shujaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nondo ni shujaa kwa kutetea haki kwa kutaka waliohusika na kifo cha Aquiline wawajibishwe.Na aliwataja na akashinikiza Waziri wa Mambo ya Ndani ajiuzulu.we unaweza?
 
Waliomteka na mashabiki wao naona wamejaa kwenye huu uzi wanauliza kama ushujaa wake ni kutekwa wakati wakijua fika kilichompa umaarufu ni harakati zilizopelekea Abdul kutekwa, wanajitahidi kuhamisha magoli.
 
Mbona maelezo uliyoweka ya gazeti yanajichanganya. Mkuu wa chuo anasema anatakiwa airiport januari,yeye Abdul Nondo anasema aliambiwa bado inafanyiwa kazi hukumu yake aliyopeleka.
 
Sio kila tukio la kijamii ni la kuchukulia political mileage, mwacheni mtoto wa watu apambane kurudi masomoni bila ya kumweka kati kwenye siasa za ushindani thats just too cheap.

Mnampa publicity for the wrong reasons, aliyopitia yanatosha na yeye mwenyewe wala ajasikika kuweka loyalty na chama chochote cha siasa.
 
Back
Top Bottom