Shujaa Wa kufyatua risasi hewani then zinakata konaHuyu ni Shujaa Wa nini
Shujaa Wa kufyatua risasi hewani then zinakata konaHuyu ni Shujaa Wa nini
Ushujaa wake ni nini? Kupotea?
Mbona imeshindikana kuthibitishwa kama ni Kweli kajiteka na hakutekwa.? Naihurumia Tanzania hata vilivyo wazi vinaingizwa ushabiki.Shujaa aliyetekwa na dem!
Hilo la kujiteka, si unajua mahakama ilisema nini..!!! ACHA KUPOTOSHA UMAAjiteke tena, itapendeza.
Waambie hao jamaa zako.UNAJIDHALILISHA KIONGOZI
Hata mimi nimeshangaa. Amesahau kuwa shujaa ni wewe!Ama kweli kuna watu na viatu
Ushujaa gani????
Hv kipindi unaandika ulifikiri kabla?????
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona CCM mlimpa jiwe tuzo kwa ndege kutua kwa dharura? tuzo ilikuwa ya nini?Ushujaa wake ni nini? Kupotea?
Kwa mfano, neno gani moja alilolisema linatia aibu?Hebu muambieni huyu dogo sijui maji ya magwanda yamemfanya asifikiri,mambo anayoyasema hapa hata ananitia aibu japo tunatoka wilaya moja ,ama anajitia uwendawazimu au sintofahamu,hivi maana ya neno shujaa sijui kama anajua maana yake.
Tafadhali kuwa na adabu wewe ni mwanamke kujibishana na wanaume ni makosa, lakini lililo la msingi usinitoe kwenye avatar wifeWaambie hao jamaa zako.
kwanini ameng'ang'ana kurudi hapo? si angetafuta chuo kingine!? atafelishwa bure!
UDSM atasoma na atamaliza hayo mambo ni ya kawaida ni wazoefu nayo. Hakunaga hayo watu wanadanganyana eti oooh atashikwa,ata disco, sijui uongo gani!! Wengi sana wenye vitimbwi kama hivyo washamaliza palekwanini ameng'ang'ana kurudi hapo? si angetafuta chuo kingine!? atafelishwa bure!
Ushujaa wake Ni kushinda kesi ya kujiteka ... Kama alivyobambikiwaUshujaa wake ni nini? Kupotea?
Mkuu,Ajiteke tena, itapendeza.