Halafu watoto wa Mbowe wanasoma abroadWapi amesema chadema, jaribu kuwa mkweli hata ungekuwa wewe mtoto wako amenyimwa mkopo kwa sababu hiyo ungejisikiaje?
Halafu watoto wa Mbowe wanasoma abroadWapi amesema chadema, jaribu kuwa mkweli hata ungekuwa wewe mtoto wako amenyimwa mkopo kwa sababu hiyo ungejisikiaje?
Ni kweli lakini alipokuwa analipa kiasi hicho alikuwa anaongeza au anapunguza! Mtu anaweza kuwa amejipanga na kudunduliza kiasi hicho kwa kujinyima. Hivyo siyo vyema kutoa mkopo kwa kigezo cha shule aliyosoma mhusika.Ila tuongee ukweli kama umeweza kulipa zaidi ya 2.5 kwa miaka 7 ongeza 4 ongeza 2 halafu leo 1.5 ya chuo itakushindaje miaka 3
Wacha itukimbie huku ikizalisha vilaza watakaokuja kuwa watwana wa watoto wa Kenya na Zambia. Mtaficha wapi nyuso zenu ?Tulie Serekali iboreshe shule zake sio kuzikimbia nayo inatukimbia tunalalamika
mzazi anaweza kuwa na mtoto wa kwanza yuko anaingia chuo na ana wadogo zake wako shule. huyu wa chuo anawekwa kando apate mkopo na pengine awapunguzie wadogo zake kwa kujibana. ni kupanga na kupangua na ku balance mambo yaende.Mkuu usijitoe ufahamu, hiyo 1.5 ya chuo ni ada (school tuition fee) pekee bado madudu mengine kibao pesa kama hiyo au zaidi.
mkosoe Nondo ktk siasa zake zingine ila sio kwa hili la mikopo. dogo yupo sahihi kabisa.
hali ya kiuchumi hubadilika. Kuna kupunguzwa kazini, kampuni yako au uliyo ajiliwa kufilisika, kuugua n.k. vinaweza kupelekea mzazi kushindwa kuendelea kumlipia mtoto elimu ya juu kam private.
Ila tuongee ukweli kama umeweza kulipa zaidi ya 2.5 kwa miaka 7 ongeza 4 ongeza 2 halafu leo 1.5 ya chuo itakushindaje miaka 3
Inaonekana unaelewa polepole!Ila tuongee ukweli kama umeweza kulipa zaidi ya 2.5 kwa miaka 7 ongeza 4 ongeza 2 halafu leo 1.5 ya chuo itakushindaje miaka 3
Nondo kajibu swali lako, rudia kusomaIla tuongee ukweli kama umeweza kulipa zaidi ya 2.5 kwa miaka 7 ongeza 4 ongeza 2 halafu leo 1.5 ya chuo itakushindaje miaka 3
Hivi alisema anawashukuru Magereza alitunzwa vizuri ehNondo kajibu swali lako, rudia kusoma
Kwahyo chuo ukitoa 1.5 unapata hostel(malazi), chakula, kopi, vitabu na field allowance humo humo???Ila tuongee ukweli kama umeweza kulipa zaidi ya 2.5 kwa miaka 7 ongeza 4 ongeza 2 halafu leo 1.5 ya chuo itakushindaje miaka 3
Soma SECOMU viazi malazi bei powaKwahyo chuo ukitoa 1.5 unapata hostel(malazi), chakula, kopi, vitabu na field allowance humo humo???
Kua uone dogo
Kama chanzo ni kodi zetu...kuna watu tunalipa ma PAYE makubwa makubwa bado nikinunua bidhaa TRA hawa hapa sasa kwanini mwanangu asifaidi jasho la kodi yangu.??Sorry, kabla hatujaingia ktk mjadala kama huu, tujiulize je serikali inapotoa pesa kama hii ya mkopo chanzo cha serikali ni nini?, jibu ni kodi. Kama ni kodi je mtoto wa private school mzazi wake halipi kodi?.
Majibu ya maswali yako yapo kwenyr hayo maelezo ya Nondo, labda kama hutaki kuelewa!Ila tuongee ukweli kama umeweza kulipa zaidi ya 2.5 kwa miaka 7 ongeza 4 ongeza 2 halafu leo 1.5 ya chuo itakushindaje miaka 3
Mkuu umenena vema. Kweli ni mkopo siyo msaada. Na watatakiwa kurudisha. Sasa hii habari ya shule binafsi na za serikali sijui linatoka wapi!! Ninachoona hapa ni kwamba serikali haina pesa za kuwakopesha hao wanafunzi, hayo mengine ni porojo na kisiasa tu.Kwani huo si ni mkopo ambao mkopaji atarudisha baada ya kumaliza mazomo yake hivi mzazi yeyote mwenye uwezo wa kusomesha Mtoto wake atataka mtoto wake asome kwa mkopo tena wenye riba ya asilimia 6. Mi naona tunapenda kupotosha kwa kuwagawa Wanafunzi kwenye makundimakundi bila sababu ya msingi, kama kiasi kinachotengwa ni cha kukopesha wanafunzi wanaohitaji mkopo basi wote wenye Sifa ya kujiunga na elimu ya chuo kikuu wakopeshwe kwa kigezo kuwa wameomba na wanasifa ya kusoma chuo kikuu hapo ndo watakuwa wamesaidiwa.
Hizo pesa ulizotaja ukumbuke humo unakuta kuna chakula, malazi, wengine shamba dress, material nk. Chuo ni gharama sana kulinganisha na secondary au primary. ni shule chache sana zenye gharama za juu. na ndo maana serikali haitoi bure inatoa mkopo na unarudishwa, ukitaka kuamini kuwa ni gharama ingia upractice, somesha.Ndio wakati wa kujifunza sasa Kuweka akiba kuanzia mtoto anazaliwaa