Abdul Nondo afunguka kuhusu bodi ya mikopo

Abdul Nondo afunguka kuhusu bodi ya mikopo

Lets be REALISTIC..! Usichukulie mambo kirahisi!! Zama zimebadilika..nenda ukahesabu watanzania wa kawaida kwny shule za private(primary) ambazo ada ni zaidi ya 2.5 millions(kama ulivyosema) alaf ubaki na jibu lako..
Pili nitajie chuo cha private kinachotoa degree ya udaktari ambacho ada yake ni 1.5 mill(km ulivyosema) then utajiuliza km huwa unatumia ubongo wa wapi kufikiria.
Hofu iko wapi kama Watanzania wachache ndio wapo Private? Na wengi wanasoma Public ? Tusibaki kutetea wachache walioamua kwenda Private
 
Unaakili au matope huko kichwani?? Chuo gani ada, accommodation, field, transport, food iwe Milioni 1.5????, Ada ya milioni 2.5 ina include vitu vyote hivyo kwa shule (O and A-Level)
Una miaka 18 ya kusave kwa ajili ya chuo cha Mwanao Private
 
Ila tuongee ukweli kama umeweza kulipa zaidi ya 2.5 kwa miaka 7 ongeza 4 ongeza 2 halafu leo 1.5 ya chuo itakushindaje miaka 3
Nakushangaeni sana. Nilisomesha kijana ambaye sio ndugu yangu kabisa O level. Lakini kwa jinsi alivyo faulu vizuri na akapata shule ya serikali A level ya hovyo kwelikweli nikaona sio jambo jema kum sukumizia huko hivyo nikabeba jukumu LA ziada.
Sasa angenyimwa mkopo chuo kikuu eti kasoma private ingekuwa kumuonea sana kwani mie msaada wangu uliishia pale A level
 
Mkuu usijitoe ufahamu, hiyo 1.5 ya chuo ni ada (school tuition fee) pekee bado madudu mengine kibao pesa kama hiyo au zaidi.

mkosoe Nondo ktk siasa zake zingine ila sio kwa hili la mikopo. dogo yupo sahihi kabisa.
hali ya kiuchumi hubadilika. Kuna kupunguzwa kazini, kampuni yako au uliyo ajiliwa kufilisika, kuugua n.k. vinaweza kupelekea mzazi kushindwa kuendelea kumlipia mtoto elimu ya juu kam private.
Kumpa Hela ya kulaa kila siku ni msalaaa...!! Chuo ada sio kesi sanaa shida hapoo kwenye Kulaa...Pa kuishi na Mavazi..
 
Kumpa Hela ya kulaa kila siku ni msalaaa...!! Chuo ada sio kesi sanaa shida hapoo kwenye Kulaa...Pa kuishi na Mavazi..
Practical training, Stationary, Hostel, transport, bima ya Afya, transport, ...., and the list goes on.
 
Ila tuongee ukweli kama umeweza kulipa zaidi ya 2.5 kwa miaka 7 ongeza 4 ongeza 2 halafu leo 1.5 ya chuo itakushindaje miaka 3
Kwani Mkopo ni 1.5 kwa mwaka!?

Nikivyomuelewa hiyo 1.5 m itakuwa ni tuition fee tu. Kuna gharama nyingine kama za chakula malazi, usafiri, field attachment nk.
 
Ila tuongee ukweli kama umeweza kulipa zaidi ya 2.5 kwa miaka 7 ongeza 4 ongeza 2 halafu leo 1.5 ya chuo itakushindaje miaka 3
Kama shule za bure zingetoa elimu bora, nani angetaka kulipa 2.5m ? Sio wote tunalipa 3m tukiwa tunacheka. Kama raia tuna uchungu na watoto wetu, vipi serikali ikose uchungu kwa watoto wake ? Au ni vile serikali haizai ?
 
Tulie Serekali iboreshe shule zake sio kuzikimbia nayo inatukimbia tunalalamika
 
Lets be REALISTIC..! Usichukulie mambo kirahisi!! Zama zimebadilika..nenda ukahesabu watanzania wa kawaida kwny shule za private(primary) ambazo ada ni zaidi ya 2.5 millions(kama ulivyosema) alaf ubaki na jibu lako..
Pili nitajie chuo cha private kinachotoa degree ya udaktari ambacho ada yake ni 1.5 mill(km ulivyosema) then utajiuliza km huwa unatumia ubongo wa wapi kufikiria.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom