Abdul Nondo afunguka kuhusu bodi ya mikopo

Mbona mnajitoa ufahamu hiyo milioni 2.5 na zaidi kumbuka unalipa mtoto yuko shule ,maradhi ,chakula,sujui usafiri vyote vimo kwenye Ada,tofauti na Chuo wee unalipa hio 1.9 au 3m.mambo mengine Chuo hakihusiki nacho utajijua utalala wapi,utakula wapi utafikaje Chuo kumbuka gharama ya stationery ni kubwa Sana kununua handout nk
Inabidi watoto wasome vyuo vya Jirani na Nyumbani sasa
 
Mkuu usijitoe ufahamu, hiyo 1.5 ya chuo ni ada (school tuition fee) pekee bado madudu mengine kibao pesa kama hiyo au zaidi.

mkosoe Nondo ktk siasa zake zingine ila sio kwa hili la mikopo. dogo yupo sahihi kabisa.
hali ya kiuchumi hubadilika. Kuna kupunguzwa kazini, kampuni yako au uliyo ajiliwa kufilisika, kuugua n.k. vinaweza kupelekea mzazi kushindwa kuendelea kumlipia mtoto elimu ya juu kam private.
Hilo nalikubali wapo wanaokwama wapo waliosomeshwa na wafadhili naamini Bodi itaangalia hao wachache
 
Ila tuongee ukweli kama umeweza kulipa zaidi ya 2.5 kwa miaka 7 ongeza 4 ongeza 2 halafu leo 1.5 ya chuo itakushindaje miaka 3
Gharama ya kusoma na kuishi chuo kikuu ni 1.5 m? Chuo gani hicho? Yaani hapo umejumlisha ada, malazi chakula, field stationery, vitabu n.k? kweli nyie ccm bongo zenu hazina tofauti na mwenye kiti wenu
 
Dogo kichwa sana huyu.Halaf sio muoga,ukiangalia wanasiasa wameufyata!
 
Gharama ya kusoma na kuishi chuo kikuu ni 1.5 m? Chuo gani hicho? Yaani hapo umejumlisha ada, malazi chakula, field stationery, vitabu n.k? kweli nyie ccm bongo zenu hazina tofauti na mwenye kiti wenu
Ni kama kiasi gani hivi?
 
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP) Abdul Nondo amefunguka na kusema kuwa kigezo cha bodi ya mikopo kutoa mikopo kwa kuzingatia tu wanafunzi waliosoma shule za serikali na kuwabagua wale waliosoma shule za private si sawa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwakosesha haki watu kusoma.

Abdul Nondo amesema hayo siku moja baada ya kauli ya Rais Magufuli kusema kuwa bodi ya mikopo haiwezi kutoa mikopo kwa wanafunzi ambao awali walionekana kusoma katika shule za binafsi na kudai kuwa watu hao wanauwezo hata wa kusomesha na wazazi wao ndiyo maana waliweza kusomeshwa katika shule binafsi walipokuwa wakisoma.

"Mara ya kwanza kabisa, niliwahi sikia kauli ya namna hiyo kwa Katibu Mkuu mstaafu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Maimuna Tarishi akisema kama umesoma private school hupati mkopo. Kauli hii tuliipinga vikali, kipindi hicho na tukasema sio fair sababu gharama za chuo ni kubwa (Ada, hela ya kula ,copy, usafiri,hela ya malazi, hela ya mafunzo kwa vitendo field). Ni tofauti kabisa na fedha ya ada shule ya private laki 8, au mil 1 ambayo pia watu husoma kwa ada hiyo private. Kuwanyima mkopo ni kuwakatishia ndoto zao kabisa"

Nondo aliendelea kusema kuwa sababu nyingine ni kuwa uwezo wa mzazi unaweza kubadilika badilika inawezekana kipindi cha nyuma alikuwa na uwezo wa kulipia gharama lakini kipindi mtoto anaingia chuo labda mzazi amepatwa na magonjwa ya kudumu, uchumi umeyumba kiasi cha kushindwa kumudu gharama hizo jambo ambalo linapelekea wanafunzi wengine kukosa haki ya kusoma elimu ya juu.

"Mfano kipindi mtoto akiwa anasoma 'private' mzazi alikuwa na uwezo wa kulipa, kipindi mtoto anaingia chuo baba au mzazi amepata magonjwa, ameparalyze, amefilisika, kumnyima mkopo mtoto huyu ni kumkatishia malengo yake. Pia tulihoji juu ya kama mtoto amesoma kwa kudhaminiwa inakuwaje, kuna wanaodhaminiwa kusoma private schools na mashirika binafsi, watu binafsi, na husomeshwa shule tuu sio chuo, baadaye hutelekezwa chuo wajitegemee. Hii bodi ya mikopo walisema wataweka kipengele kuambatanisha vielelezo vya udhamini ila huwa ni geresha tuu huwa hawatoi hata uambatanishe ndio maana sio sahihi kutoa mkopo kwa kigezo cha u private schools, au u government schools siyo haki"

"Tulihoji pia wapo waliosoma kwa kurUdia mitihani kutafuta 'credits' mara nyingi hawa huwekwa katika kundi la private schools, wapo QT (qualified Tests), wapo diploma wote hawa huwa termed as private schools. Kuwanyima mkopo kwa vigezo hivi ni kupoteza ndoto zao. Kigezo cha kutoa au kutotoa mkopo kwa kuangalia ulisoma private au government sio kigezo sahihi. Kime katisha ndoto za wanafunzi wengi saana sababu hakitoi majibu halisi ya uwezo wa mwanafunzi kustahimili gharama"

Mbali na hilo Abdul Nondo amesema bodi ya mikopo sasa imekuwa ikikusanya marejesho ya mikopo kuliko kipindi chote kama ambavyo wao wenyewe wamekuwa wakisema hilo hivyo amewaomba kigezo hicho cha kuangalia mwanafunzi alisoma shule gani na kumpa mkopo huku wengine wakikosa mkopo kutokana na shule walizowahi kusoma siyo haki na kuwa kitendo hicho ni kukatisha ndoto za watu kusoma elimu ya juu.

"Hakuna kipindi bodi ya mikopo wanakusanya makusanyo na marejesho Kama kipindi hiki, tuwasii bodi ya mikopo hiki kigezo hakifai. Kama bodi ya mikopo wataamua kukitumia kama kigezo cha kukosa mkopo, basi tunawaomba waandike katika muongozo wao wa 2018/2019 .Wakiongeze kuwa "Kama ulisoma shule ya binafsi hupati mkopo" ili wazazi wajipange mapema na wajue kuwa mtoto akisoma private school hapati mkopo kutoka bodi ya mikopo. Itasaidia ikifafanuliwa hivyo"
yeah its facts brother
 
Hivi chadema mmeshamsaidia kupata Shule huyo jamaa au mnamtumia tu kama kiatu na kumtupa atakapo chakaa?
Grow up and stop talking bullshit.. for fuk sake.
mambo ya vyama yanaingiaje hapo?
 
Ila tuongee ukweli kama umeweza kulipa zaidi ya 2.5 kwa miaka 7 ongeza 4 ongeza 2 halafu leo 1.5 ya chuo itakushindaje miaka 3

Kuna jamaa yangu alisomeshwa na wafadhili very expensive private school, form 5 huyo Mama (Mmarekani) akafariki, akarudia maisha yake duni kweli, so pasipokuwa na mifumo mizuri watu genuine watateseka
 
Ila tuongee ukweli kama umeweza kulipa zaidi ya 2.5 kwa miaka 7 ongeza 4 ongeza 2 halafu leo 1.5 ya chuo itakushindaje miaka 3
Lets be REALISTIC..! Usichukulie mambo kirahisi!! Zama zimebadilika..nenda ukahesabu watanzania wa kawaida kwny shule za private(primary) ambazo ada ni zaidi ya 2.5 millions(kama ulivyosema) alaf ubaki na jibu lako..
Pili nitajie chuo cha private kinachotoa degree ya udaktari ambacho ada yake ni 1.5 mill(km ulivyosema) then utajiuliza km huwa unatumia ubongo wa wapi kufikiria.
 
Kwani huo si ni mkopo ambao mkopaji atarudisha baada ya kumaliza mazomo yake hivi mzazi yeyote mwenye uwezo wa kusomesha Mtoto wake atataka mtoto wake asome kwa mkopo tena wenye riba ya asilimia 6. Mi naona tunapenda kupotosha kwa kuwagawa Wanafunzi kwenye makundimakundi bila sababu ya msingi, kama kiasi kinachotengwa ni cha kukopesha wanafunzi wanaohitaji mkopo basi wote wenye Sifa ya kujiunga na elimu ya chuo kikuu wakopeshwe kwa kigezo kuwa wameomba na wanasifa ya kusoma chuo kikuu hapo ndo watakuwa wamesaidiwa.
 
Porojo tupu wenye uwezo wanajulikana tu kwa historia ya toka Primary

Nadhani tunachanganya mambo. Kijana anayeingia Chuo Kikuu ni mtu mzima tayari, ana walau miaka 18. Hawezi akaendelea kuwa tegemezi kwa mzazi wake. Anawajibika kujiendeleza, anao umri wa kutosha kumshitaki na kushitaki. Kufikia umri huo mzazi hana tena majukumu na mtoto huyo. Kama alikuwa na kipato, mzazi atakuwa amekaribia kuchoka na anastahili kustaafu na kuonja maisha yake.
Sera inayotengenezwa hapa Tanzania ni kinyume kabisa na kinachofanyika mataifa mengine. Yumkini baada ya miaka 18, anastahili kupewa nyumba na serikali kama upo utaratibu wa kusaidia wananchi, kupewa kazi au kuchukua mkopo akasome. Tunachokifanya ni kuwalundika mibaba na mimama iliyopevuka kwa wazazi wao ambao muda umeshaisha kwa maana ya uwezo wa kifedha.
Ni bahati mbaya sana kuwabagua wale ambao waliosoma private (tena mara nyingi kwa shida kweli, wakirudishwa mara kwa mara kwa kukosa ada). Ni kama ile sera ya kibaguzi kuwanyima wavulana nafasi ya kuendelea masomo chuo kikuu mara baada ya form 6 kwa kuwa tu wavulana wa zamani walikuwa wengi katika shule kuliko wasichana. Huyu unayembagua hahusiki, kila kitu kinapaswa kuangaliwa kwa uhalisia wake!
 
Ila tuongee ukweli kama umeweza kulipa zaidi ya 2.5 kwa miaka 7 ongeza 4 ongeza 2 halafu leo 1.5 ya chuo itakushindaje miaka 3

Ndugu uko sawa kwa mtazamo wako lakini ebu chukulia wewe ni mzazi alafu miaka yote ktk nchi hii inajulikana ukifika chuo kuna mkopo hvyo wewe kama mzazi ukasema ujikaze ufanye juu chini umjengee mwanao msingi mzuri huku chini ikiwa juu mkopo upo basi ukauza hata mashamba au mifugo yako ili tu msingi bora kwa mtoto uwepo ,au tuseme ya Mungu mengi upo au haupo dunian au upo lkn huna tena msaada wowote kwa familia kiuchumi je utajisikiaje mwanao akinyimwa mkopo? Kuna wafadhiri pia mda mwingine watakusaidia huko chini kwa mantiki kuwa huko juu mkopo upo ok sawa Mwisho mimi nadhani mkopo ni kwa mwanafunzi raia halali wa nchi hii pia hata hao wakubwa walisoma shule binafsi je hawakupewa mikopo kipindi chao!!!!!!!!!?? Yote kher kikubwa pumzi
 
Jiwe haoni kwamba kauli zake kama hizi ataua private sector?Kuna mzazi gani atakayempeleka mtoto wake private school kama mwisho wa siku atajua kwamba ufadhili wa mtoto wake toka serikali hautakuwepo kabisa?
 
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP) Abdul Nondo amefunguka na kusema kuwa kigezo cha bodi ya mikopo kutoa mikopo kwa kuzingatia tu wanafunzi waliosoma shule za serikali na kuwabagua wale waliosoma shule za private si sawa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwakosesha haki watu kusoma.

Abdul Nondo amesema hayo siku moja baada ya kauli ya Rais Magufuli kusema kuwa bodi ya mikopo haiwezi kutoa mikopo kwa wanafunzi ambao awali walionekana kusoma katika shule za binafsi na kudai kuwa watu hao wanauwezo hata wa kusomesha na wazazi wao ndiyo maana waliweza kusomeshwa katika shule binafsi walipokuwa wakisoma.

"Mara ya kwanza kabisa, niliwahi sikia kauli ya namna hiyo kwa Katibu Mkuu mstaafu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Maimuna Tarishi akisema kama umesoma private school hupati mkopo. Kauli hii tuliipinga vikali, kipindi hicho na tukasema sio fair sababu gharama za chuo ni kubwa (Ada, hela ya kula ,copy, usafiri,hela ya malazi, hela ya mafunzo kwa vitendo field). Ni tofauti kabisa na fedha ya ada shule ya private laki 8, au mil 1 ambayo pia watu husoma kwa ada hiyo private. Kuwanyima mkopo ni kuwakatishia ndoto zao kabisa"

Nondo aliendelea kusema kuwa sababu nyingine ni kuwa uwezo wa mzazi unaweza kubadilika badilika inawezekana kipindi cha nyuma alikuwa na uwezo wa kulipia gharama lakini kipindi mtoto anaingia chuo labda mzazi amepatwa na magonjwa ya kudumu, uchumi umeyumba kiasi cha kushindwa kumudu gharama hizo jambo ambalo linapelekea wanafunzi wengine kukosa haki ya kusoma elimu ya juu.

"Mfano kipindi mtoto akiwa anasoma 'private' mzazi alikuwa na uwezo wa kulipa, kipindi mtoto anaingia chuo baba au mzazi amepata magonjwa, ameparalyze, amefilisika, kumnyima mkopo mtoto huyu ni kumkatishia malengo yake. Pia tulihoji juu ya kama mtoto amesoma kwa kudhaminiwa inakuwaje, kuna wanaodhaminiwa kusoma private schools na mashirika binafsi, watu binafsi, na husomeshwa shule tuu sio chuo, baadaye hutelekezwa chuo wajitegemee. Hii bodi ya mikopo walisema wataweka kipengele kuambatanisha vielelezo vya udhamini ila huwa ni geresha tuu huwa hawatoi hata uambatanishe ndio maana sio sahihi kutoa mkopo kwa kigezo cha u private schools, au u government schools siyo haki"

"Tulihoji pia wapo waliosoma kwa kurUdia mitihani kutafuta 'credits' mara nyingi hawa huwekwa katika kundi la private schools, wapo QT (qualified Tests), wapo diploma wote hawa huwa termed as private schools. Kuwanyima mkopo kwa vigezo hivi ni kupoteza ndoto zao. Kigezo cha kutoa au kutotoa mkopo kwa kuangalia ulisoma private au government sio kigezo sahihi. Kime katisha ndoto za wanafunzi wengi saana sababu hakitoi majibu halisi ya uwezo wa mwanafunzi kustahimili gharama"

Mbali na hilo Abdul Nondo amesema bodi ya mikopo sasa imekuwa ikikusanya marejesho ya mikopo kuliko kipindi chote kama ambavyo wao wenyewe wamekuwa wakisema hilo hivyo amewaomba kigezo hicho cha kuangalia mwanafunzi alisoma shule gani na kumpa mkopo huku wengine wakikosa mkopo kutokana na shule walizowahi kusoma siyo haki na kuwa kitendo hicho ni kukatisha ndoto za watu kusoma elimu ya juu.

"Hakuna kipindi bodi ya mikopo wanakusanya makusanyo na marejesho Kama kipindi hiki, tuwasii bodi ya mikopo hiki kigezo hakifai. Kama bodi ya mikopo wataamua kukitumia kama kigezo cha kukosa mkopo, basi tunawaomba waandike katika muongozo wao wa 2018/2019 .Wakiongeze kuwa "Kama ulisoma shule ya binafsi hupati mkopo" ili wazazi wajipange mapema na wajue kuwa mtoto akisoma private school hapati mkopo kutoka bodi ya mikopo. Itasaidia ikifafanuliwa hivyo"
Huyu mtoto mbona ana mawazo mazuri kuliko watu wazima?
 
Ila tuongee ukweli kama umeweza kulipa zaidi ya 2.5 kwa miaka 7 ongeza 4 ongeza 2 halafu leo 1.5 ya chuo itakushindaje miaka 3

Kinachonisumbua hapa ni; Je, huo ni mkopo kwa ajili ya kusoma au ni ruzuku?? Kama ni mkopo, kwa nini kusifanywe utaratibu mzuri hiyo hela ikalipwa?? Kumbuka, hiyo hela inapatikana kwenye kodi za Marajiri na maskini. Sasa iweje ubague?? Nadhani viwango viwekwe tu kuwa Science ni kiasi hiki na Arts ni kiasi hiki. Huu sio ubaguzi bali vipaumbele. Pia mtawafanya watoto wetu wakimbilie zaidi science
 
Kijana ana mawazo mazuri kuliko Serikali

Mkwepa Kodi,
Uko sahihi ndo maana kesi yake wameamua kuichakachua na kumtimua chuo. Tatizo la Viongozi hasa wa Kitanzania ukionekana una mawazo mazuri au hoja za msingi kuliko viongozi wanaanza kukuon wewe ni ''THREAT" kwao wanaanza kukutengenezea zengwe na mahoka ya kukupoteza....shida saaaana!!!.
 
Back
Top Bottom