Wadau, nampenda sana huyu jamaa Abdul Kipenga ambaye huwa anashiriki kwenye Sports kizaazaa ya ITV. Anaongea kwa kujiamini na anatoa points za maana sana kuhusu michezo. Mwenye taarifa zake anijuze,inaonekana anajua vitu vingi sana kuhusu michezo. Ni kiongozi wa chama chochote cha michezo au ndo wale wanaoshinda kwenye vibaraza vya kahawa mjini?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums