Abdallah Majura auza radio station

Abdallah Majura auza radio station

huyo mwamposa alikujaga dom apa viwanja vya barafu.
alikuwa ana maji chupa kibao aliziuza.. na mafuta. yaani alipiga pesa vibayaa mno.

kesho yake nikakutana nae mjini kati ana Range Rover nyeupe. nikajua moja moja pesa za watu hizoo
 
na wewe je MUNGU amekufunulia kuwa mwamposa ana miujiza kutoka kwake. /hatumii uchawi?
Kwani akiwa mchawi kuna tatizo? mtu Yuko huru kuabudu chochote hata kuabudu mchawi.Katiba ya nchi imetoa Uhuru wa kuabudu.Ndio maana sio kila mtu yuko dini yako au yuko unakoabudu wewe.Wewe ukimtaka Mungu mwingine anamtaka mchawi
 
kwa hiyo umekubali mwamposa anatumia uchawi..! 😂😂

mwenzako kauliza tuthibitishe kama mwamposa anatumia uchawi. nasi tumeomba mthibitishe Kama mwamposa anapokea upako kutoka kwa MUNGU badala yake umekubali moja kwa moja kwamba anatumia (mwamposa).. pia hakuna anayekukataza kwenda kwa huyo jamaa. wewe nenda tuu ila sisi tunachojua tumewaonya..

waafrika tuna safari ndefu. tunaamini kwenye bahati. badala ya kujituma.. 🤔🤔
 
nadhani mpaka uje kujua kuwa wewe ni pumbavu lilitukuka utakuwa umechelewa sana. pole sana maana

maana hata swali umeshindwa kujibu.

nafikiri angeitwa Kiranga hapa akutoe ujinga.
Ungekuwa na akili wala usingetukana ila inawezekana ndivyo ulivyofunzwa na wazazi wako. Mimi na wewe nani kashindwa kujibu swali?
 
Mtumishi wa Mungu gani?

Mungu ndiye anamtuma afanyie biashara kwenye maisha ya watu?

Mungu gani huyo anayetuma manabii waje kuwauzia watu Maji ,lesso , mafuta,bangiri, keki ,

Ni Mungu gani anayetuma manabii sinza ,kijitonyama ,ubungo ,buguruni halafu hawaelewani na kukubaliana kimafundisho

Mungu amekuwa kigeugeu toka lini?
Manabii wana wito wa kuwavua kondoo wa mjini tu..vijijini hawaendi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
 
Aaron Arsenal,
Mkuu mimi siyo muumini wa huyo Mwamposa ila nakukumbusha soma Hesabu 12:1-12 huyo jamaa maadam anatangaza neno la Mungu we achana nae mwisho wa siku tutawatambua kwa matendo yao sio kuwahukumu hilo ni jukumu la Mungu mwenyewe
Hukumu ya Mungu ni ya mwisho...hapa duniani tutanyooshana tu tukiona watu wanadanganya wenzao na wala huko si kuhukumu. Tatizo watu wanataka watende madhambi yao kwa uhuru ndo maana hawataki uwaambie eti "unanihukumu" nani kasema....sema unambiwa ukweli sema ni mmchungu ndo mnakimbilia ooh usinihukumu wa kunihukumu ni Mungu pekee.
Mungu hukumu yake ni ya mwisho kwamba Nenda Motoni au Peponi.
Lakini hapa duniani tunanyooshana tu ukienda fyongo....hatukuhumu kuwa unaenda peponi au motoni hiyo ni HUKUMu ya Mungu. Ila mzani wako na neno la Mungu/Biblia vikiwa haviendani tutakuita TAPELI tu utake usitake
 
Aiseeee balaaa zitooo,
Mi sio mtumishi sana ktk iman ila najua jua kidogo mambo ya iman
Nakumbuka huyu mwamposa alikuwa anakuja shuleni kwetu kufundisha neno la Mungu nikiwa high school mkoa wa kilimanjaro,kipindi icho hajawa kama hivi alivyo sasa.
Tulikuwa tukimfuata mimi na jamaa yangu (Harrison) pale kwenye kanisa flani hivi ata gari alikuwa hana,toka kipindi hicho alikuwa very humbled man na kwakweli alikuwa na character nyingi za utumishi wa Mungu,Kama huyu mnae muongelea ndiyo yule yule niliyekuwa namjua enzi zile basi wacha niwe peke yangu wa kumuamini.Lakini kama kabadilika zaidi ya vile alivokuwa basi sina neno hapo,All in all Boniface Mwamposa nashawishika kusema alikuwa na sifa nyingi za utumishi wa Mungu kwa mtendo,maisha na mafundisho yake.Kama ni utapeli atakuwa kaja nao juzi juzi,sisi wa zaman tulimjua hivyo.
N.B:Sijafungamana na upande wowote,nimeongea kwa jinsi ninavyojua mimi binafsi enzi zile sio enzi hizi.Harrison Mmari kama utaona ujumbe huu unaweza kushusha Nondo zako zaidi.
 
Makanisa mengi hayana upako ndio.maana watu wanatimkia kwa akina Mwamposya.

Makanisa mingi kutwa imekalia kuongelea doctorines tu Haina uwepo wa Mungu Bali porojo za doctorines tu za kidini za dini zao
 
huyo mwamposa alikujaga dom apa viwanja vya barafu.
alikuwa ana maji chupa kibao aliziuza.. na mafuta. yaani alipiga pesa vibayaa mno.

kesho yake nikakutana nae mjini kati ana Range Rover nyeupe. nikajua moja moja pesa za watu hizoo
Ni mjasiriadini
 
Aiseeee balaaa zitooo,
Mi sio mtumishi sana ktk iman ila najua jua kidogo mambo ya iman
Nakumbuka huyu mwamposa alikuwa anakuja shuleni kwetu kufundisha neno la Mungu nikiwa high school mkoa wa kilimanjaro,kipindi icho hajawa kama hivi alivyo sasa.
Tulikuwa tukimfuata mimi na jamaa yangu (Harrison) pale kwenye kanisa flani hivi ata gari alikuwa hana,toka kipindi hicho alikuwa very humbled man na kwakweli alikuwa na character nyingi za utumishi wa Mungu,Kama huyu mnae muongelea ndiyo yule yule niliyekuwa namjua enzi zile basi wacha niwe peke yangu wa kumuamini.Lakini kama kabadilika zaidi ya vile alivokuwa basi sina neno hapo,All in all Boniface Mwamposa nashawishika kusema alikuwa na sifa nyingi za utumishi wa Mungu kwa mtendo,maisha na mafundisho yake.Kama ni utapeli atakuwa kaja nao juzi juzi,sisi wa zaman tulimjua hivyo.
N.B:Sijafungamana na upande wowote,nimeongea kwa jinsi ninavyojua mimi binafsi enzi zile sio enzi hizi.Harrison Mmari kama utaona ujumbe huu unaweza kushusha Nondo zako zaidi.
Jamaa alitokea Arusha Calvary Assemblies of God kwa mtumishi Dastan Haule Maboya pale ndo alipokulia kiroho, ninaposikia kabadilika kawa kama mnavyosema napata shida sana
 
Sasa ni rasmi kituo cha redio 91.2 ABM Radio cha Dodoma kilichokua kikimilikiwa na galacha wa fani ya utangazaji wa Radio ndugu Abdallah Majura kimeuzwa kwa Mtumishi wa Mungu Apostle Boniface "Bulldozer" Mwamposa na kwa sasa zinapigwa nyimbo za Gospel 24/7.

Ieleweke kwamba ndugu Abdallah Majura anamiliki pia radio station nyingine kwa jina la A24 Radio inayosikika Dar Es Salaam na Zanzibar.

Ninatumaini Mtumishi Mwamposa atatumia nafasi hii ya umiliki wa kituo cha Radio "kuwakamata" wakristo pamoja na wasio wakristo kama ambavyo amefanikiwa kwenye matamasha anayoyafanya Dar Es Salaam.

*INUKA UANGAZE*
HUYO MWAMPOSA AMENUNUA REDIO ZOOTE ZILIZOKUWA ZINAMILIKIWA NA ABDALLAH MAJURA BULEMBO.
 
Back
Top Bottom