Abdallah Majura auza radio station

Abdallah Majura auza radio station

Ingekuwa ajabu Kama angeweza kufika mbali, ABM ilikuwa ni Kama radio inayohusu soka, Sasa wa Watanzania wapenzi wa Soka sio wasikilizaji wa radio 24/7..mtu chake hongera Majura, ingwaje ulikuwa una kera pindi unapoizungumzia Yanga redio kwako, mahaba yalizidi! Ila ulitusaidia Sana wapweke wa Dodoma kutupa matokeo ya soka, ambayo bila ABM ,tungeyapata baada ya saa 12
 
Hivi radio haziingizi fedha? Hebu mnijuze faida huaje hasa kwenye shughuli hiyo.
 
Nilipanda kwenye daladala kutoka makumbusho kwenda tegeta na Majura aliboa sana njia nzima anaongea na simu kuhusu mambo ya ofisini kwake kwa sauti kubwa.

Lakini nimpongeze kwa uthubutu, maana si wengi wanaweza kupambana maana kuna magwiji kama charles hillary, Tido Muhando bado wanapamba na vijana kwenye ajira ambao kimsingi ni watu walipaswa kama sio kuwa washauri basi wana media house zao lakini all in all maisha ndivyo yalivyo.
 
Back
Top Bottom