Abdallah Majura auza radio station

Abdallah Majura auza radio station

Mtu anayejua kiongozi wa dini ni wa kweli au uongo Ni muumini wake tu

Asiye muumini hawezi sema yule Ni wa uongo au la .Wakati hasali kwake.

Mwamoosya ni nabii wa kweli kwa waumini wake mtu ambaye sio muumini wake huna authority ya kusema Ni nabii wa uongo
 
Mtu anayejua kiongozi wa dini ni wa kweli au uongo Ni muumini wake tu

Asiye muumini hawezi sema yule Ni wa uongo au la .Wakati hasali kwake.

Mwamoosya ninnabii wa kweli kwa waumini wake mtu ambaye sio muumini wake huna authority ya kusema Ni nabii wa uongo
Tetea hoja yako kimaandiko


Hiyo ni theory yako sio ya kimaandiko


Mwamposa ni tapeli kama matapeli wengine
 
Usimwite mtumishi wa Mungu tapeli
Mtumishi wa Mungu gani?

Mungu ndiye anamtuma afanyie biashara kwenye maisha ya watu?

Mungu gani huyo anayetuma manabii waje kuwauzia watu Maji ,lesso , mafuta,bangiri, keki ,

Ni Mungu gani anayetuma manabii sinza ,kijitonyama ,ubungo ,buguruni halafu hawaelewani na kukubaliana kimafundisho


Mungu amekuwa kigeugeu toka lini?
 
Aaron Arsenal,
Mkuu mimi siyo muumini wa huyo Mwamposa ila nakukumbusha soma Hesabu 12:1-12 huyo jamaa maadam anatangaza neno la Mungu we achana nae mwisho wa siku tutawatambua kwa matendo yao sio kuwahukumu hilo ni jukumu la Mungu mwenyewe
 
Aaron Arsenal,
Maandiko kila mtu anatafsiri kivyake kutokana na misimamo yake ya kidini.Mkatoliki kivyake,msabato kivyake,mwangilikana kivyake,Mwamposya kivyake nk hakuna tafsiri rasmi iliyokubaliwa na wakristo wote Duniani kuwa hi ndio tafsiri rasmi ya Biblia.

Kila mtu anaona tafsiri yake ndio sahihi.Ndio.maana nasema anayejua Mwamposya Yuko sahihi ni muumini wake.Mtu wa nje ambaye sio muumini wake huwezi kusema Ni wa kweli au la sababu hasali kwake.Hana authority .kwenye Hilo wewe baki na Chako Cha Mwamposya waachie wenyewe wanaosali huko
 
Mkuu mimi siyo muumini wa huyo Mwamposa ila nakukumbusha soma Hesabu 12:1-12 huyo jamaa maadam anatangaza neno la Mungu we achana nae mwisho wa siku tutawatambua kwa matendo yao sio kuwahukumu hilo ni jukumu la Mungu mwenyewe
Huo ni mtazamo fake


Biblia inasema tuwapime hawa manabii

Na tunaambiwa Tuwachunguze na kuwapima

Wewe unaposema tumuache unatumia kigezo gani?
 
Manabii siku hizi wengi kweli,eti Masanja nayeye ni Baba mchungaji
Washaona huko kuna makondoo wengi wa kuwalamba pesa bure bure ukijua vizuri kuchezesha taya na kukariri bible verse vizuri mbona utapiga pesa hadi basi....Wewe fikiria hadi Muyamba naye ni Pastor wakati alianza kuact kwenye movie kama mchungaji kwa kukariri script naye sasa ana kanisa na anavuna pesa kwa kondoo.

myamba.jpg
 
Huo ni mtazamo fake


Biblia inasema tuwapime hawa manabii

Na tunaambiwa Tuwachunguze na kuwapima

Wewe unaposema tumuache unatumia kigezo gani?
Unapima nabii wa kwako sio.wa mwingine.Nabii wa mwingine mwachie mwenye naye ndie ampime
 
Back
Top Bottom