Abdalah Kibadeni azushiwa kifo!

Abdalah Kibadeni azushiwa kifo!

Status
Not open for further replies.
]Unaona sasa, mwingine naye anajiita Candid scope eti Kibadeni alitokea Zanzibar!

Kizazi cha Lulu hawamjui King Kibaden. Mimi namfahamu na katika masuala ya soka nimeshakuwa karibu naye sana wakati yupo timu ya Majimaji akiwa na akina Steven Nemes, Madaraka Suleman, Peter Tno, Celestin Sikinde Mbunga, Na wengineno. Ninachofahamu Kibaden hakuanza kucheza mpira bara bali alianza kucehezea timu za Zanzibar kisha baadaye kasajiliwa Simba. Kizazi cha akila Lulu hawajui hilo.
 
Hii Habari Ni Ya Uongo, Tafadhali Moderator Ifuteni Haraka Sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom