And he is only 48!Sio Kweli... yeye mwenyewe kakanusha hizo habari anasema wanaomtangazia Kufa basi ndio wanazidi kumtabiria maisha marefu
And he is only 48!
And he is only 48!
Ndiyo.Ana miaka 48???
Wewe unamjua?!sio kweli we humjui!
Ndiyo.
Who knows. Labda misongo ya maisha.He looks older mbona....
Who knows. Labda misongo ya maisha.
Ila hii tabia ya kuzushia mtu kufa sijui ni tabia ya wapi, if you are not sure why cant you shut your big mouth, kuliko kuongea maneno yenye kuumiza watu na familia zao.
Familia zinaumiaje wakati hajafa!Ila hii tabia ya kuzushia mtu kufa sijui ni tabia ya wapi, if you are not sure why cant you shut your big mouth, kuliko kuongea maneno yenye kuumiza watu na familia zao.
Sio Kweli... yeye mwenyewe kakanusha hizo habari anasema wanaomtangazia Kufa basi ndio wanazidi kumtabiria maisha marefu
Wewe naye unafata nini kwenye hivyo viblog uchwara? Aah!Hasa viblog uchwara kuandika habari bila hata kufanyia uchunguzi
Wewe naye unafata nini kwenye hivyo viblog uchwara? Aah!
Ndiyo.
Unaona sasa, mwingine naye anajiita Candid scope eti Kibadeni alitokea Zanzibar!Hasa viblog uchwara kuandika habari bila hata kufanyia uchunguzi