Hhahaaaaaaa Erickb52 bahati mbaya au nzuri mie sina chama, naona siasa kama mchezo mchafu tu, wachache wananeemesha matumbo yao kupitia wanachama..........
Wakuu ... Hiki kijiwe leo panakuwa ni sehemu makini,hata kwa kuanzia asubuhi-asubuhi.. Tartiiibuu huku unaperuse JF na kilongalonga chako..
Pensi kubwa,chini umevaa simpo zako za ukweli,au sandals...