HahahahahahahaaaaHhahaaaaaaa Erickb52 bahati mbaya au nzuri mie sina chama, naona siasa kama mchezo mchafu tu, wachache wananeemesha matumbo yao kupitia wanachama..........
Hahahahaa huko ndo kwenyewe...nipo loliondo, hakufai huku,kwanza kutoka ar unatumia masaa 8! Barabara mbovu ile mbaya!Kuanzia leo naunga mkono ujenzi wa barabara ya serengeti.
Sh. 600 tu/1L ya Kibuku, afu ukipiga tatu ni sawa na Kilimanjaro tisa, ila domo linanukaje?
Bia ilivyo-turn 1700, ilibaki kidogo nihamie huko, maana nikiangalia kiroba nacho kilishakuwa 1200.
nipo loliondo, hakufai huku,kwanza kutoka ar unatumia masaa 8! Barabara mbovu ile mbaya!Kuanzia leo naunga mkono ujenzi wa barabara ya serengeti.
Mphamvu
pole sana, unajua kwa nini nilishangilia? Nilijua tu piga ua galagaza by any means hata judge akifunga macho jamaa lazima atashinda. Kama alikutwa na masanduku ya kura na akatangazwa ushindi itakua mahakamani? Tena mahakama ambazo zipo chini yao?
Halafu Mphamvu, hutaki waziri ashinde kesi? Unataka akale wapi jamani loh........!!!!
Ila sijarudi kwenye ile thread nahisi wadau walishambulia eeeeh? Ngoja nikaitafute
Hahahahahahahaaaa
Halafu huyo mwenyewe Mphamvu kuna kipindi avatal yake ilikuwa ya jembe na nyundo....nashangaa leo kakugeuka amakucheka wewe.....teh the
Ila BADILI TABIA inabidi uwe na chama sasa
ah ... Mphamvu bana! Nimechekajee...
Si twauziwa 1,800/- kiroba buku!
So mdomo kunuka lazima,vipi hamna vichengachenga vya kimea,ambavyo inabidi utemeteme?
Hahahahahhaaaa Mphamvu acha kukwepa
Lini bana avatar yangu ilkuwa ivoo? Labda kuna day niliweka kidogo tu kuchangamsha baraza...Hahahahahahahaaaa
Halafu huyo mwenyewe Mphamvu kuna kipindi avatal yake ilikuwa ya jembe na nyundo....nashangaa leo kakugeuka amakucheka wewe.....teh the
Ila BADILI TABIA inabidi uwe na chama sasa
Mphamvu
pole sana, unajua kwa nini nilishangilia? Nilijua tu piga ua galagaza by any means hata judge akifunga macho jamaa lazima atashinda. Kama alikutwa na masanduku ya kura na akatangazwa ushindi itakua mahakamani? Tena mahakama ambazo zipo chini yao?
Halafu Mphamvu, hutaki waziri ashinde kesi? Unataka akale wapi jamani loh........!!!!
Ila sijarudi kwenye ile thread nahisi wadau walishambulia eeeeh? Ngoja nikaitafute
Hahahahahaaaaa rudisha wadau wakuvae kwa vijembe teh teh yan siku hizi mtu kuwa sisiemu ni kama kosa lol tunasahau kuna uhuru wa vyama na kipenda rohoLini bana avatar yangu ilkuwa ivoo? Labda kuna day niliweka kidogo tu kuchangamsha baraza...
Au unataka niirudishe?
Hahahahahahaa Gee Cee mi hapana aiseee siunajua Arachuga hakunaga kijani hata kidogo huku ni VHata wewe!
Mphamvu Wachagga tunakunywa "Mbege","Dadii",labda na "Piwa"... Sema "Kibuku" inafanana na "Dadii" labda...
Hata wewe!
BADILI TABIA nini tena niandae :mod::mod: iwe karibu kabisa sitaki kukosa..The Finest,
nikikuona tu moyo wangu unaruka kichurachura....
Hahahahaa huko ndo kwenyewe...
Ukipita Ar utuambie wadau utupe hi kijana