Basi atatuacha wengi
Kama kila kitu home natimiza,kama binti zangu wawili wanasoma St Mathew na sijawahi shindwa kulipa ada ontime!Nyumba tunayo na kazi secure ninayo
Kwa nn nisinywe pombe?
pombe bwana mtihani sana basi tu
Nooo...!!wala hajawahi Ila bora angekua anaonja!Wa kwako naye anapiga maji?
Nooo...!!wala hajawahi Ila bora angekua anaonja!
we acha tu!
hapo kati patamu!!!
100%nakubali!Kabisa. Muda mwingi anaumalizia hapo kati.
Kuna msemo wanasema mtu ambaye hapigi maji anakuwa mpenzi wa hapo kati.
Kwa mtizamo wako unaonaje?
100%nakubali!
mmmhhh!inategemea pia!mwngne cha pombe na hapo kati patamu,mwingine sio mlevi na sio mhuniMbona mimi sipo hivyo? Sigusi pombe na hapo kati napaona kawaida sana?
Na nina rafiki wangu wa karibu yeye ni cha pombe balaa, ila hapo kati kama amechanjiwa nako.
mmmhhh!inategemea pia!mwngne cha pombe na hapo kati patamu,mwingine sio mlevi na sio mhuni
Mwingine Yuko busy Ila bado mhuni!Na kweli. Kuna mengi yanachangia mtu kupenda hapo kati.
Sababu kubwa ni kuwa iddle sana muda unaotakiwa kufanya kazi.
Mwingine Yuko busy Ila bado mhuni!
Uhuni ni asili ya mtu...!
Ila haya mambo bwana!Kabisa.
Ila haya mambo bwana!
mmmmhh!
Ni kama maji usipoyanywa utayaoga...!Huyapendi au unayapenda?
Ni kama maji usipoyanywa utayaoga...!