Aachana na mumewe kwa sababu ya ulevi

Aachana na mumewe kwa sababu ya ulevi

hhhahaaaa!hahaaaaaa![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wanywaji bwana mnavuana kwenye kiti!llooohhh kazi kweli kweli!
Huu Uzi ni wa kumshauri binti,... Nyie mnatongozana hapa...mshaurini shemeji yangu la kufanya hiyo mambo yenu fanyieni Huko PM.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kutongozana tena...!!!Loohhh...
muambie aache pombe huyo mwanaume na mwanamke arudi kwanza kwao!
 
Huu Uzi ni wa kumshauri binti,... Nyie mnatongozana hapa...mshaurini shemeji yangu la kufanya hiyo mambo yenu fanyieni Huko PM.
Mmh! Tulia na ww suala kama hili wanaume wazima mmeshindwa kulitatua??!! Ndio maana mnakimbiwa hapo jibu ni moja tu kama jamaa yako anampenda mke wake dawa ni kuacha pombe basi au kama anaona bora pombe kuliko ndoa dawa ni kuendeleza pombe na kumwacha mke..
Zaidi ya hayo majibu hakuna namna lazma moja wapo lifanyike
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji4] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] unampa presha bure mke anamtaka,kakimbia nyumbaa!
 
Mkuu ila siku moja jaribu na ww Kunywa hata ka Redd's tu utakuja nambia kakikuregeza utajikuta unamtaman baba ngina mpaka unalowa[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85] naogopa pombe miee!wanasemaga Redd's iko vzr Ila mie bwana hapana pombe!
 
Ambonyi,

Nimepokea malalamiko toka kwa Mke wa jamangu kuwa leo hii ni wiki tangu ameamua kurudi kwao na kutengana rasmi na mumewe.
Sababu aliyotoa kubwa ni ulevi wa Mara kwa Mara wa Jamaa na akirudi anaweza akamuwashia moto mwanamke na hivyo binti amechoka kugombezwa, kutukanwa, kupigwa na kutishiwa. Lakin mwanamke anakiri kuwa Jamaa Hana michepuko wala hajawahi kulala nje.
Nimeshindwa kumshauri naombeni msaada. Huyu mwanamke arudi au aliunge?? Na je tatizo la urahibu wa pombe linatatulika?? Maana Jamaa bado anampenda my wife wake na anamhitaji sana tu. Na mwanamke ni Kama anamhitaji uhakika wa Hali ya juu ili arudi.
Taratibu zikoje hapo?
wengine tukipiga kitu ndo mahaba yanaongezeka....ila wengine yanatoweka,...tuko tofauti
 
Njia nzuri ya kumkomoa Mlevi alokubuhu kunywa ni kumkinaisha siku moja watembee pamoja na waende Hopitali kuu wakatembelee wagonjwa mahututi ICU au waende gerezani kutemblea wafungwa au mahabusu na zaidi waende makaburini/msibani au mazishini hapo huyo mlevi atapata AKILI na kujirudi........"tena iwe ziara za mfululizo"
hofu ya mungu itamvaa...
 
Hebu tumshauri huyu mtu tusi toke nje ya mada....Mimi ni mjumbe tu na kwAnini Kama ni yangu nisiyaweke wazi kwani kuna anayenijua humu??
Mwambie amwache huyo bint kabla hajampa kilema cha maisha yeye atafute mlevi mwenzie
 
wengine tukipiga kitu ndo mahaba yanaongezeka....ila wengine yanatoweka,...tuko tofauti
Mkuu tatizo la pombe ni moja ikinywewa inaweza kushuka au kupanda, ikishuka haina tatizo utarudi upesi nyumbani kupata Huduma, shida ni pale ikipanda ukorofi, ugomvi, matusi dharau, uchokozi nk.
 
Yaani MTU unaendeshwa na pombe? Ifike mahali tutumie brain zetu. Ni aibu mno na ukweli Maendeleo yao kimaisha yatakuwa mtihani sana.
 
Pombe ilinifanya nimkose kimada wa ndoto yangu dadeki. nimeiwacha mpaka leo naisikia tu kama kuna kilevi lakini kinywani big nooo.
 
Sicha mnama.
Kwanza mwanaume mlevi anaboa kupita kiasi
Achilia mbali kulewa lakin nyuma ya pazia yapo mengi wanawake tunavumilia kwa kua ndo washakua waume zetu.
N way, mwambie aache pombe mengine badae
 
Aika ma, yaseme basi jamani kwa niaba ya wengi???
 
Back
Top Bottom