Aachana na mumewe kwa sababu ya ulevi

Aachana na mumewe kwa sababu ya ulevi

yes hata kama wapo wanaonijua shauri zao kwa nn nisiwe honesty as long as what am saying is absolute true!
Mi sinaga za kuficha matatizo kisa kufa kihoro!!
Kwa hili Mimi ni mjumbe, fuatilieni nyuzi zangu muone ninavyomwagika hata Yale yangu binafsi. Tusitoke nje ya mada.
 
pombe bwana mtihani sana basi tu
Acha kabisa pombe tamu jaman ila utamu wake unywe isikuzidi..
Kama ambavyo mm mda huu naenda kuitandika kuja kufika saa kumi na mbili ntakuwa tayar nmetosheka
 
Acha kabisa pombe tamu jaman ila utamu wake unywe isikuzidi..
Kama ambavyo mm mda huu naenda kuitandika kuja kufika saa kumi na mbili ntakuwa tayar nmetosheka
mi situmii pombe,Ila kuna walevi na wanywaji!Huyo mpk anatukana ni mlevi mbwa na hajitambui!

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa achague pombe au mke.

Kuhusu tatizo la pombe dawa ni kichapo tu mpaka aape kuacha pombe.
 
Nawashangaa mnaosema flani hawezi kuacha pombe.

Mpeni kichapo mpaka alazwe kama siku 3 mtaanxa kuona mabadiliko.

Akirudia tena mnaongeza dozi mpaka aache kabisa.
Dawa sio kipondo mkuu,...unaweza ukaua tokakosa vyote.
 
Kukuelezea inaweza kuwa ngumu kidogo ni sawa na mtu akikuliiza uzuri Wa tendo ni upi.. Ni kitu ambacho huwez kumuelezea namna ilivyo
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    55.6 KB · Views: 30
Back
Top Bottom