Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,375
- 56,096
kivipi?!!Mtazamo wako binafsi unaonaje? Unapenda au hupendi.
Jinsi Unavyoongea ni kama hupendi ila inakubidi ufanye tu, huna jinsi.
kivipi?!!Mtazamo wako binafsi unaonaje? Unapenda au hupendi.
Jinsi Unavyoongea ni kama hupendi ila inakubidi ufanye tu, huna jinsi.
kivipi?!!
mapenzi hayakimbiliki utapenda tuu!Ni kama maji, usipokunywa utaoga.
Ndo nimetumia huu msemo uliouweka hapa.
mapenzi hayakimbiliki utapenda tuu!
no matter what!!
yaahh!love is a beatiful thing don't get twisted!![emoji124]Haya mama. Nafurahi unapenda kitu kitamu kuliko vyote duniani.
Utuletee wajukuu sisi.
yaahh!love is a beatiful thing don't get twisted!![emoji124]
Kwanini bora angekuwa anaonja? Nakumbuka Ex wangu mmoja aliniambia ana wish ningekuwa naonja kidogo.Nooo...!!wala hajawahi Ila bora angekua anaonja!
Mara nyingi mwanaume kama sio mlevi anakua na gubu!Kwanini bora angekuwa anaonja? Nakumbuka Ex wangu mmoja aliniambia ana wish ningekuwa naonja kidogo.
Kwanini bora angekuwa anaonja? Nakumbuka Ex wangu mmoja aliniambia ana wish ningekuwa naonja kidogo.
🙁🙁 Duh wewe.....Mara nyingi mwanaume kama sio mlevi anakua na gubu!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85] kweli!🙁🙁 Duh wewe.....