A super woman

A super woman

Hata kwetu uchagani wanawake ndiyo wanachakarika kuliko wanaume..wanaume wengi hawaendi shambani kabisa wanadai hawawezi kulima..shambani anaenda mama na watoto + majukumu mengine kama kukatia ng'ombe na mbuzi majani
Haendi shamba basi atoe hela ya uniforms za watoto au ndiyo mwanaume suruali?
 
Sky sisi ambao tumekuzwa na wanawake wa hivyo tunaombea wadogo zetu waige basi hata 20% ya uchakarikaji wa mama zetu.

Lakini wapi.
You got a point. Tukiwa wadogo mama yangu aliishi maisha haya na kwangu yeye ni shujaa. Leo natamani mke wangu awe hata robo yake lakini wapi..
 
Tafuta hela acha ulofa ww sio mnyama wa porini ndo mana ukapewa ufaham na akili, endelea kusubiri kuletewa utapigiwa mkeo mpaka ukome
We are animals, angalia wanyama wote wanaishije, dume moja majike mengi, then majike huwinda na kuleta chakula kwa dume. Binadam tumetawaliwa na ustaarabu wa wazungu and naweza kuuita wa kijinga sababu polygamyst ni system ya kiafrika, ndo maana wanaume siku hizi ni full malaya sababu ya kulazimishana mke mmoja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom