A super woman

A super woman

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
1087522
 
We are animals, angalia wanyama wote wanaishije, dume moja majike mengi, then majike huwinda na kuleta chakula kwa dume. Binadam tumetawaliwa na ustaarabu wa wazungu and naweza kuuita wa kijinga sababu polygamyst ni system ya kiafrika, ndo maana wanaume siku hizi ni full malaya sababu ya kulazimishana mke mmoja
 
Sky sisi ambao tumekuzwa na wanawake wa hivyo tunaombea wadogo zetu waige basi hata 20% ya uchakarikaji wa mama zetu.

Lakini wapi.
Kaka unamaanisha hawa slay queens au??
 
Sky sisi ambao tumekuzwa na wanawake wa hivyo tunaombea wadogo zetu waige basi hata 20% ya uchakarikaji wa mama zetu.

Lakini wapi.
Yah tena mtoto mkubwa ndiyo anakuwa msaidizi wa mama. Anafundishwa kupika regardless the gender ili wadogo zake wale mama akiwa analima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom