wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,597
- 29,528
Ndio ilivyo hata kule kwetu umasaini wanawake ndio wanajenga nyumbaAfu huwezi amini ,niliwai fika kijiji kimoja na wanawake wanaona kawaida ..yaani anaona ni kama part ya kawaida katika majukumu yake