Mkuu huwezi kuniboa hapo ondoa shaka kwani tupo humu ili kufurahi na na-accept every comment hata kama ni negative. Nakukaribisha kuzima mishumaa ingawa imeshakua usiku but next time nitakuinvite early.namaanisha..nlichopost,..
Nani wa MMU...ameshiriki zima mishumaa.? Nisamehe kama naku boa
Oooh my dear thank you very much. Jamani unataka kunifanya nitanuke kichwa lol asante sana.For real happy birth day....my wish is u continue to be GOOD woman.....ur very GOOD and INTELIGENT woman....sijaka sana JF lakini naona kupitia post zako.....uendelee kuwa hivyo....god bless u
Awwww so sweet isn't it lovely having kids.....Yes dear it was a wonderful day hasa wanangu wameni-surprise sikutegemea . Unajua waliamka saa sita usiku kuni-wish
Yaani umenifanya niende kutafuta picha za wakati huo lol
.........kuna moment unapata unamweleza mtu ukweli alivyo.....im speaking my mind....coz nakumbuka pia wakati mimi ni mgeni naanza kupost ni mtu wa kwnza kwanza kuni-quote but very wisely....nsiseme sana you can review in ur profile......u just be blessed more and moreOooh my dear thank you very much. Jamani unataka kunifanya nitanuke kichwa lol asante sana.
Hahahahaha natamani siku zirudi nyuma niwe kama Enzi hizo. Lkn kwa bahati mbaya maisha yamebadilika sana hata nikipewa uchaguzi wa kurudi nyuma nitakataa aisee .
Hahahahahahaha hapana bwana mbona maraha yalikuwepo tu bhana. Unajua kila nyakati zina vionjo vyake na vinafaa kwa wakati wake.Naogopa kusema banaaa...Chezeya maraha ya siku hizi weye!!!! na ukilinganisha na mwaka 47!!! Nani atataka kurudi mwaka 47!!!! Kwi kwi kwi kwi una kila sababu ya kukataa kurudi mwaka 47. ππ
Hahahahahahaha hapana bwana mbona maraha yalikuwepo tu bhana. Unajua kila nyakati zina vionjo vyake na vinafaa kwa wakati wake.
Be blessed abundantly.........kuna moment unapata unamweleza mtu ukweli alivyo.....im speaking my mind....coz nakumbuka pia wakati mimi ni mgeni naanza kupost ni mtu wa kwnza kwanza kuni-quote but very wisely....nsiseme sana you can review in ur profile......u just be blessed more and more
Be blessed today and always. Happy Birthday.Thanks . Amen
Hahahahahaha hebu nimwite twin Fixed Point aje athibishe hili lol. Hivi nikirudi huko nyuma ina maana kila kitu kirudi kule au narudi mie tu halafu mengine yanaendeleaHilo nalijua rafiki kwamba kila nyakati zina vionjo vyake lakini hivi vionjo vya sasa ni vitamu mnooo tena kwa raha zakoππ ndio maana umegoma kurudi mwaka 47 lol!!
Hahahahahaha hebu nimwite twin Fixed Point aje athibishe hili lol. Hivi nikirudi huko nyuma ina maana kila kitu kirudi kule au narudi mie tu halafu mengine yanaendelea
Hahahahahahaha natanguliza shukrani.Hahahahah lol! ngoja nikutafutie pacha wako aje huku. Kila kitu kinarudi mwaka 47 ππ. Ila huyu pacha wako Fixed Point kumpata leo si rahisi nitajitahidi kukutafutia kesho ili aje asherehekee hii siku kubwa kwako na pia aje athibitishe au kunanusha ππ
Asante sana