Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,946
- Thread starter
- #21
Mbona umekopi baadhi ya maswali aliyokuwa anaulizwa mwanafunzi mwenye akili aliyetakiwa kupandishwa darasa na mwalimu wake mbele ya mwalimu mkuu, subiri nikaikopi nzima nije kui-paste hapa ili ujue we si mjanja
Acha umbea, yalete basi tuone.