Hakuna ndoa hazina matatizo... hakuna ndoa zisizo na ups and downs na hakuna ndoa zisizo na madhaifu... Kitu ambacho wanandoa inatakiwa wajue ni kua yule mtu ambae unaishi na kushirikiana nae 24/7 ni lazima inafika wakati mwaweza chokana... lakini haimaanishi kua muachane for hata kama angekua ni mwingine hilo suala lazima liwakute... inaitwa "rut stage"... Unapokua katika hio stage epuka saana kua na mtu ambae mahusiano is possible for amini usiamini huyo huonekana ni bora kuliko mwenzo wako... for after all bado hamja explore-ana to the maximum na to the extent ya kuchokana. Ujanja ni kushinda hio stage na muweze rudi hali yenu ya awali... that is why it is called a marriage... hayo maeneo hamasishi na ni wanandoa (with different partners) na hali mmezaa.... it is not advisable.... For lazima mtafanya... na bora mfanye na m-revive Mapenzi na wenza wenu.. but sio mfanye na mnogewe... Itakua ulimbukeni....
kama nawaona vile lol
i bet wameshaanza ku do.....
huku anajifanya nishauri please...lol
nionavyo hizi takwimu zinaashiria ya kuwa haya ni wewe mwenywe yamekusibu sasa yawaje usiwe mkweli.......................ile nukuu yaonyesha hii siyo simulizi ila ni wewe yalitoka kinywani mwako....................................kuwa muwazi nikupe ushuri nasaha..................
kila mmoja kwa sas ana ndoa yake na watoto wawili huko waliko. waliachana kwa pressure za mzazi wa mume alikuwa hamtaki kbs huyu dada na mwanaume nae akakubaliana na mzazi wake, sasa anajutaI can smell that one of them is still single ndio maana wameweza kuwa pamoja kwenye birthday. Haya mwambie ajaribu na huko afu utupe feed back. Na kilowafanya waachane at first place ni nini??? Kazi kweli kweli.
God forbid, Kama wameanza watakuwa wendawazimu, mi sidhani ila kwa ujumla wameanza kwa kasi ya kutishia usalama wakiendelea hivi watashindwa kujicontrollkama nawaona vile lol
i bet wameshaanza ku do.....
huku anajifanya nishauri please...lol
for the record: there is nothing like 'baby,im a shoulder u can cry on,anytime u need me i will be here blah blah' with a married person! yaani ukijidai unataka anytime to cry my friend kuna ratiba! unless the other person is an iddiot (sorry,namaanisha mpuuzi asiyejali ndoa yake hata kidogo ana-almost lala barabarani).
kwa ushauri,kilichowafanya waachane mwanzo ni ukaribu,na wakiwa karibu tena watatengeneza bomu. its unfair ku-share matatizo yako ya ndoa na ex wako! kwani hawana watu wazima wa kuwashauri? aghhhrrr!