cyberspace
JF-Expert Member
- Jul 23, 2011
- 730
- 291
Until the end of the worldBut for how long shall we keep on fearing Kenya?Isolating ourselves won't take us anywhere.
Until the end of the worldBut for how long shall we keep on fearing Kenya?Isolating ourselves won't take us anywhere.
I repeat you are not talking to a fool my dear friend let me quote a piece from the source that you have provided us with. It says and I quote,
Why is Greece in trouble?
Greece has been living beyond its means since even before it joined the euro. After it adopted the euro, public spending soared and public sector wages practically doubled.
wewe unakasi ya kujibu hii excerpt nimeweka bila kusoma kwa makini na ndio tatizo pengine watanzania munao kubwa. You tend to overlook the smallest of issues na munachanganyikiwa kudumisha yale ya kawaida mukikimbilia yale makubwa na mazito. Kabla uanze kukurupuka na lugha isiyoeleweka, soma hiyo excerpt kwa makini tena.
Tena Kuna socialist governments nyingi Uropa/EU na wanadumisha uchumi zao bila madeni. The EU haikuongeza la ziada katika mkataba, bali waliweka sarafu iwe euro na hawakuja na plan za kuondoa sheria za kiuchumi nchini Greece, which explains why kimsingi greece walikubali huo mkataba. Lakini kama kawaida na utakana, katika nchi nyingi za kisocialist, changamoto za kisiasa ndio tatizo kubwa katika kuwezesha sera za kiuchumi zifaulu.
Unazungumzia kuhusu Export subsidies na they go a long way in protecting the participants in the export sector and encourage many more local exporters to do more business. The export subsidies ziliwekewa wageni au local exporters ndio wakaona kimsingi ndio sababu kubwa ya uchumu kudorora? Vile ilivyo ni wao wenyewe walifanya uchumi ikashuhudia an economic meltdown.
wewe unakasi ya kujibu hii excerpt nimeweka bila kusoma kwa makini na ndio tatizo pengine watanzania munao kubwa. You tend to overlook the smallest of issues na munachanganyikiwa kudumisha yale ya kawaida mukikimbilia yale makubwa na mazito. Kabla uanze kukurupuka na lugha isiyoeleweka, soma hiyo excerpt kwa makini tena.
Tena Kuna socialist governments nyingi Uropa/EU na wanadumisha uchumi zao bila madeni. The EU haikuongeza la ziada katika mkataba, bali waliweka sarafu iwe euro na hawakuja na plan za kuondoa sheria za kiuchumi nchini Greece, which explains why kimsingi greece walikubali huo mkataba. Lakini kama kawaida na utakana, katika nchi nyingi za kisocialist, changamoto za kisiasa ndio tatizo kubwa katika kuwezesha sera za kiuchumi zifaulu.
Unazungumzia kuhusu Export subsidies na they go a long way in protecting the participants in the export sector and encourage many more local exporters to do more business. The export subsidies ziliwekewa wageni au local exporters ndio wakaona kimsingi ndio sababu kubwa ya uchumu kudorora? Vile ilivyo ni wao wenyewe walifanya uchumi ikashuhudia an economic meltdown.
I repeat you are not talking to a fool my dear friend let me quote a piece from the source that you have provided us with. It says and I quote,
Why is Greece in trouble?
Greece has been living beyond its means since even before it joined the euro. After it adopted the euro, public spending soared and public sector wages practically doubled.
However, while money has flowed out of the government's coffers, its income has been hit by widespread tax evasion.
When the global financial downturn hit, Greece was ill-prepared to cope.
Do you happen to know what led to an increase level of government public expenditure? Jibu ni kwamba serikali ilikuwa inagharimika zaidi kuhudumia wale unemployed greeks who have no jobs as result fewer opportunities available. Vile kuwahudumia wagiriki wasiojioweza ambao hawana kazi. Fahamu kuwa Greece had a socialist government that believes in equality and fairness and as result they were living beyond their means.
Perhaps ngoja nikupatie article ambayo itakusaidia kasome article hii:-
EU Accession effects on export performance: The case of greece, Koukouritakis, M., South-Eastern Europe Journal of Economics, 2006.
Namquote jamaa anasema hivi kuhusiana na impact ya intergration on greece exports. :-
This paper estimates the effects on Greek export performance that caused by the
EU accession. A simultaneous equations model of export demand and export supply
is used in order to avoid the simultaneity problem. Comparative static analysis
and the residuals approach have been implemented. The results indicate that EU
accession had a negative effect on the country's export performance, instead of improving
it. One of the reasons for this effect is that the export subsidies, during the
time period that they were available, just improved the exporters' revenues and
were not used for creating new comparative advantages for the Greek products.
Tukirejea katika utalii effect ya EU intergration is visible katika study hii hapa courtesy of Nikolas Stafos a blogger who obtained data from the Central Bank of Greece see below:-
Greece's Tourism Decline
There is a persistent focus on tourism receipts to gauge the health of the Greek economy as it heads into the fall and winter. Tourism receipts have, in fact, been dismal in 2010, falling 12% on a year on year basis in 1H 2010 (earnings in January-June 2010 versus January-June 2009). But this cyclical downturn – which started in Q4 2008 – masks a broader decline in the sector that needs addressing.
Start with the big picture. Over the past decade, tourism has made a progressively smaller contribution to Greek exports: in 2000, Greece received €10 bn from tourism, a number that grew just 3% over a whole decade to €10.4 bn in 2009. Given inflation in this period (the price level in Greece was 40% higher in 2009 versus 2000), in real terms, Greek tourism brought in 22.5% less revenue in 2009 than in 2000.
As a result of this stagnation (or decline), Greek tourism made up 25% of exports in 2000 but only 20% in 2009. Since 2003, the important of tourism as a share of total exports has fallen each year with the exception of 2009 – although this was because other exports fell more than tourism rather than because tourism performed well. The data to investigate this further is not very good (or at least not as easily available) but some high level conclusions can be generated from the table below.
In summary ndugu mkenya hapa umekutana na chuma cha pua kadanganye wakikuyu wenzio but sisi watanzania hudanganyi mtu. Unitary visa has no benefit to us I beg to differ.
Ugiriki ni moja ya nchi zilizoendelea duniani ikikisiwa kuwa ni 27th in the world kwa ukubwa wa kiuchumi duniani (World Bank, 2009). Kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita Ugiriki ilikuwa ni moja ya nchi zilizoendelea ikiwa na kiwango cha juu kulinganisha na baadhi ya nchi nyengine za Ulaya ikikisiwa ni ya 22 duniani kwa kuwa na ubora wa maisha. Uchumi wa Ugiriki umetawaliwa zaidi na sekta ya serikali inayokisiwa kuwa na asilimia 40 ya total GDP, 78% inashikiliwa na sekta ya huduma, 17 sekta ya viwanda na 4% sekta ya kilimo (Wikipedia).
Kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita kabla ya kuanza kwa mtikisiko wa sekta ya benki duniani mwaka 2008 Ugiriki ilikuwa ikikopa kwa kiwango kikubwa sana kuendesha serikali hasa kwenye budget na shughuli zenginezo za kiserikali. Hilo lilitokana na kushuka kwa mapato ya ugiriki na kuporomoka kwa mauzo ya nje ya nchi (IMF World Economic Outlook Report, 2009). Kutokana na hayo serikali ilijikuta ikipungukiwa na mapato na kulazimika kukopa kwa kiwango kikubwa kufidia mapungufu ya mapato. Inakisiwa baina ya mwaka 2001 hadi 2008 Ugiriki walikuwa na budget deficit of 5% (punguzo la mapato) kila mwaka (IMF World Economic Outlook Report, 2009).
Punguzo la mauzo ya nje lilikuwa 9% kila mwaka ukilinganisha na uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi (current account deficit) (IMF World Economic Outlook, 2009). Ilipofika mwaka 2009 ufinyu wa bajeti ulifikia kiwango cha zaidi ya asilimia 14 ya GDP (Nielsen et.al., 2010). Sababu kubwa za kukua kwa ufinyu wa bajeti kulitokana na kuongezeka kwa matumizi makubwa ya serikali (Economist, Feb 4 2010).
Ili kufidia ufinyu wa bajeti na kuwezesha uendeshaji wa serikali, Ugiriki walianza kuazima pesa katika masoko huria ya pesa na mitaji kimataifa (International capital Market). Hadi kufikia mwaka 2009 Ugiriki ilikupa kufikia 115% ya uchumi wa nchi (GDP) (Economics Intelligent Unit, 2010). Mwaka 2008 Ugiriki ilikumbwa na mtikisiko wa kiuchumi ambapo ilichangia kushuka kwa pato la nchi kwa kiwango kikubwa. Makusanyo ya kodi, kushuka kwa biashara ya utalii na huduma zenginezo vilichangia kwa kiwango kikubwa kuiweka ugiriki katika hali mbaya ya kiuchumi (Jackson J., Congress Report).Vile vile Uchumi wa Ugiriki uligemea zaidi mikopo katika masoko ya nje. Serikali ya kisoschalisti ya ugiriki ilikosa mawazo ya jinsi ya kujikwamua kutokana na uchumi tegemezi wa kukopa.
Kwa kukumalizia yepi yalikuwa matatizo makuu ya ugiriki kufikia hapa walipo nitayaelezea kwa ufupi:-
a. Matumizi makubwa ya Serikali:
Inasemekana kati ya mwaka 2001 hadi 2007 uchumi wa Ugiriki ulikuwa kati ya asilimia 4 mpaka 4.5 (World Economic Outlook, 2009). Hata hivyo matumizi ya serikali yaliongezeka kwa asilimia 87 kulinganisha na mapato yaliyokuwa kwa 31% tu (Greece Minister of Finance, January 2010). Hili lilisababishwa na sababu mbali mbali kama usimamizi mbovu wa mapato na matumizi ya pesa za umma, gharama kubwa za huduma ya afya, na ukwepaji kodi (Greece Ministry of Finance, 2010).
b. Ukuaji wa ushindani wa kimataifa.
Sekta ya uzalishaji imeporomoka kwa kiwango kikubwa kutokana na kuongezeka kwa ushindani wa kimataifa. Hilo lilichangia kukua kwa mishahara ya wafanyakazi na kuporomoka kwa uzalishaji wa ndani ya nchi (OECD Survey, 2009). Ugiriki ilifanya hilo ili ikubalike katika jumuiya ya kimataifa na hivyo kuathiri viwanda vya ndani ya nchi. Utafiti unaonyesha biashara ya nje ya nchi ilikuwa nusu ya biashara zinazotoka nje ya nchi kwenda Ugiriki (OECD Survey, 2009).
c. Urahisi wa upatikanaji wa mikopo na Sarafu yenye nguvu:
Utafiti unaonyesha kuwa kujiunga kwa Nchi za umoja wa ulaya kulichangiwa kwa kiwango kikubwa kuongezeka kwa ufinyu wa bajeti (OECD Survey, 2009). Kujiunga kwa Umoja wa nchi za Ulaya (EU) kulidumaza mauzo ya nje (export) na kuongeza mauzo ya ndani kwakuwa sarafu ya ugiriki ilipanda thamani na kufanya mauzo ya nje kuwa bei ya juu. Hilo lilichangiwa kwakuwa Umoja wa nchi za Ulaya ulijumuisha nchi zenye uchumi mkubwa kama Ujerumani, na Ufaransa (Nielsen et.al.,Congress Report 2010). Urahisi wa kupata mikopo nao ulichangiwa na kukuwa kwa kasi na utegemezi wa mikopo kuendesha serikali ya ugiriki.
d. Sheria za Umoja wa Ulaya:
Hili nalo linasemekana kuwa na mchango mkubwa kukua kwa ufinyu wa bajeti ya nchi.
Mtazamo wa Tanzania:
Kuna masuala ya kujifunza kwa nchi yetu inayoanza kuendelea na ni vema yatiliwe maanani. Hii ni kwasababu serikali yetu imeanza mchakato wa kukopa katika masoko ya pesa na inasemekana mwaka huu inataka kutangaza Eurobond of 500 Bn katika soko la fedha la kimataifa (East Africa, June 2011). Fedha hizo zinasemekana ni kusaidia kunyanyua uchumi na shughuli za maendeleo. Hata hivyo according to Zitto Kabwe speech, 15th June, 2011 hesabu zinaonyesha deni la taifa kukuwa kwa 38%, deni la taifa limefikia $11.5 Billion hadi kufikia December , 2010. Pia matumizi mabaya ya fedha za serikali yanaonyesha yanakisiwa kuwa ni 25% ya bajeti yote ya serikali (CAG Report, 2010). Hili linakisiwa kuwa ni sawa na Shs Trilioni 9.5. Hivyo wakati tunazidi kukopa pia tunaongeza ukubwa wa matumizi ya serikali na vile vile tunashindwa kusimamia vizuri pesa za umma. Hizo ni sababu sawia na sababu walizokumbana nazo Ugiriki.
EAC Community, Hali ya uchumi wetu zinaonyesha Tanzania uchumi wake unakuwa kwa kiwango cha asilimia 6.5 , Kenya ni 4.98 % na Uganda ni 5.18%, Rwanda 6.5% (IMF, 2010). Pia sarafu na cost of living inaonyesha kuwa Kenya sarafu yao ni yenye nguvu kuliko sarafu nyengine ya Africa Mashariki. Muungano wa Africa Mashariki unaweza kuleta matatizo yafuatayo kwa Tanzania kwanza ni kukua kwa gharama za maisha nchini na pili kushuka kwa mauzo ya nje ya nchi. Hivyo hilo nalo linaweza kuwa na uwiano na tatizo la ugiriki kwani litachangia kupungua kwa mapato ya nchi na kuongeza tatizo la deni la nchi.
Kwa kumalizia kufilisika kwa nchi huanzia na matatizo madogo madogo ambayo baadae yanasababisha nchi kuwa kwenye matatizo makubwa.
Hatutaki visa ya pamoja..... Wakenya wamezidi ukora.... wanasema eti Mlima Kilimanjaro na Zanzibar (the beautiful island) iko Kenya..... Mimi binafsi siwasamehi ng'o hilo kosa... labda wakanushe na watangaze dunia nzima...... vinginevyo tutafanya hiyo kazi ya kukanusha kwa kuwa so tough to them....
But for how long shall we keep on fearing Kenya?Isolating ourselves won't take us anywhere.
...For your information we are going to have a single tourist visa whether you like it or not!..the Tanzanian Tourism Industry is run by Kenyans..its our intellectual finesse we have in marketing Tanzanian Tourism products that you take pride in..most managers of tour firms in Tanzania are Kenyans so we will have our way whenever we want it.
Wadau, saikolojia ya tamko hili imekaaje?
Kazi tunayo nakwambia.
Ngoja nisiseme kitu leo nisije nikafungiwa!
It true most managers in tourism industry are kenyan. I have seen kenyan managers even on small hotels in kinondoni. Kenyans have been on this game off kissing mzungu for long time. But that doesn't mean they will be able to decide for tanzanians.
Labda turudi nyumba kidogo. Kwa nini watalii wanaokuja Tanzania wanapitia Kenya? Kwa nini wasije moja kwa moja Tanzania? Kwa nini mtalii anayekuja kupanda Mlima Kilimanjaro ashukie Nairobi badala ya KIA? Kwa muda mrefu Wakenya wamekuwa wakiutangaza Mlima Kilimanjaro kuwa uko Kenya. Tanzania imechukua hatua gani ku-address hili suala?
Hili suala la visa sio solution ya juu juu tuu? Kwa nini tusi-address the underlying causes za watalii wanaokuja Tanzania kupitia Kenya ili wawe wanakuja moja kwa moja Tanzania? What is so special in Kenya that watalii lazima wapitie pale kabla ya kuja Tanzania?
Unakuta mtalii kutoka Uswisi anakuja na Swiss Air kutembelea mbuga za wanyama Tanzania. Ndege inapitia Dar Es Salaam lakini hashuki, anaenda kushukia Nairobi halafu anafunga safari ya kuja Tanzania kutembelea mbuga za wanyama. Ni kwa nini?
Mpaka Prince William alishaenda kusoma Kiswahili Kenya. Why not Tanzania? Tuna kasoro gani hasa?
So what is your point apart from some childish rants, who gave you divine power to the extent of just branding me a Kenyan? FYI am a typical,born and bred Tanzanian who believes in the forces of globalization. Whether we like it or not, globalization is here...isolation wont take us nowhere. History clearly shows nations that have embraced integration prospered while those that embraced isolationism were doomed. We either compete or we are doomed. Competition offers new ideas,challenges and new perspectives while isolationism suffocate ideas.Sijawahi kuwaogopa wakenya na kamwe sitawaogopa. Unaongelea misaada ya mahindi Kenya na kusahau kuwa we still claim the number one beggar status in Africa as a nation...Can we compare the budgets of the two countries in terms of donor funding?it is taking us somewhere and for your records its kenya who is desperate to see this marriage come true than us!!! thats shows we are better than u guys..... hata wahamiaji haramu hapa kwetu wengi ni wakenya ushaona m tz anakimbilia kenya?? akafanye nini?? ushaona m tz anaenda kubeg apewe mahindi kenya??? cant u produce even ur own maize???
Nini au nani anazuia Tanzania kusema kuwa Nairobi iko Dar es salaam? Yote ni marketing strategies
Kwa hiyo kudanganya watu ni mikakati ya kutangaza biashara..... njia ya muongo siku zote ni fupi..... utadanganya lakini wale ulio wadanganya wakigundua ndiyo kazi inaanzia hapo....... kenya wamedanganya muda mrefu kuwa kilimanjaro iko kwao..... lakini sasa dunia imejua...... wanabaki midomo wazi...... na sisi kwa ujeuri tunawazuia wakileta watalii kuja kupanda mlima wetu mpaka watoe kodi stahiki..... mpaka wageni wao wanawakasirikia kuw waliwadanganya kuwa mlima uko kwao........ halafu hili tulilisimamia kidete kwa kukata gari yoyote ya namba za usajiri za kenya kupatikana kwenye hifadhi zetu..... teh teh teh ....patamu hapo...
huu nauita ni upuuzi! leta factsDo not worry mkuu. Mfanya biashara makini hazuiliki. Serekali wakileta hiki naye ana buni hiki. For example wakizuia malori ya Kenya kuingia Tanzania malori mengi ya Tanzania ni ya wakenya. Ulijua hivyo? subiria nisije kufichua siri zingine kali zaidi. You will always play catch up so my advice grow up face the competition and fight.